mm kama mwanaume namsupport dem kuna mda tukubaliane bana hakuna anaefaa kuteseka maishani kisa mapenzi bana kama huna hela wachana na mapenzi hakuna kuvumiliana upuuzi kuna life after love bana kijana akajitafute au alipe ada na matumizi ya dem kila mtu ana background tofauti sio kila mtu anatoka familia za uwezo so sio tamaa dem ameweka priorities zake mbele which is good.
2026-07-06 05:17:22
127
africphotographysafaris :
Vido Vidox umemaliza 🥂kunywa soda apo ulipe 😁🫡
2026-07-05 18:11:57
125
LEVELUP🛍️⚜️ :
Never be second person📌
2026-07-07 06:49:21
20
Tyson :
bro una Akili sanaaa
2026-07-06 06:16:00
63
opobo21@ :
jamaa anajibu fact sana salute kiongozi💯🔥🔥🔥
2026-07-07 08:17:38
37
Instagram football :
tuliopo upande wa vido vidox mpo
2026-07-06 15:10:15
39
S E L E :
chuo hakuna mapenzi hata siku 1
2026-07-05 23:08:23
51
Ismaily konk2 :
apo mm naendlea2 kuichapa ila upendo naupoteza kabisa😃😃😃😃😃
2026-07-09 10:45:18
13
J'than mayoba :
mimi naungana na vido vidox, maamuzi ya kiume sana
2026-07-06 08:42:31
42
🌠CITY OF SAYARI 🌌🌏♥️ :
Huyu mshauri katisha sana 💯💯
2026-07-06 07:11:25
35
sharom furnitule tz :
kaka vido umeongea kiuwanaume 👍💯
2026-07-05 22:20:37
28
Mwinyimvua Khan :
Naam Vido vidox
2026-07-05 16:31:54
7
DAMARO CAMARA :
mwambye kijana asome
2026-07-07 04:53:39
13
OfficialErigone 🇹🇿 :
Mimi kwangu freshi tuuu 😂
2026-07-06 14:27:47
5
Musomalya :
vido vidox nakubali sana Kaka
2026-07-07 11:20:20
6
〽️mona ch🌀ice :
Hizi Cap za Round ni Level ✌🔥
2026-07-06 23:11:11
7
xadexh_jr :
vido akili kubwa sana
2026-07-07 14:20:33
5
baba fatY.. :
mshindi vido kw heshima kubwa sana
2026-07-06 11:18:09
13
MOHAN :
TIKTOK IS BETTER THAN RELATIONSHIP
2026-07-06 15:43:32
12
Eunice Wairimu 🇨🇦🇨🇦💕💕 :
Canada 🇨🇦 kazi zipo njooni 🥰🥰🥰
2026-07-05 15:36:26
68
I'm wandete :
hii story kama imenizungumzia mimi
2026-07-06 17:38:13
8
DON.OCTIWIZZY🦅🇺🇸 :
yupo sahihi asee jamaa atampa nini sa
2026-07-06 13:29:46
17
zedpizzo outfit :
daah mbn hii story NI yangu kabsa dah😒😦
2026-07-05 18:33:17
27
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.