WADADA NAO PUNGUZENI KUOMBA SANA HELAA,MTU ANAOMBA MPAKA INAFIKA WAKATI UNAANZA KUMTAFSIRI VIBAYA..UNAHISI LABDA ANATAKA HELA ZAKO..UNAAMUA KUKAA NAYE MBALIII KUMBE KANAKUPENDA MASKIN YA MUNGU,KANAANZA KULIA HUKO KWA MARAFIK ZAKO😮😳
2026-07-28 22:40:49
1
dyumamaryam :
acha tuombe tujue wakubaki na wa kwendaa😂😂😂
2026-07-17 18:47:05
1
aishamwanja8 :
omba helaa dada wa kukaa atakaa wa kwenda na aende 2😌🙃
2026-07-22 15:57:42
3
elieth :
jamani
2026-07-06 08:49:29
1
Rachel Hussein :
mm ata siach na yy apunguze kuniomba
2026-08-21 18:04:03
0
Lucy :
mi naomba wakwangu atabaki kama c o wangu ataenda🤣🤣
2026-08-22 18:48:10
0
emakulata01 :
mh
2026-07-08 22:30:45
0
nasan :
aende zake bhna 😂
2026-08-20 18:12:47
0
Rehema :
wa kubaki milele abaki wa kwenda mazima aende
2026-08-23 05:20:03
1
ester_mayaofficial :
mm dijawai kuomba na sion dall za ndoa zaid ya kuzeeshwa tu
2026-07-26 18:29:36
1
🦋little_princess 🦋❤️ :
hata usipoomba utaachwa tu kwaiy nakushaur omba wa kwend ataend wakubaki atabaki😂
2026-07-29 18:47:35
0
carren@G84 :
Me ninae wawili mmoja ni waziri wa fedha mwingne ni waziri wa mambo ya ndani😂😂😂😂😂
2026-08-02 16:33:36
1
Mohamedi Kimelemeta 0670872215 :
nakubari sana 😆😆😆😆
2026-08-13 18:30:29
0
🦋🦋RUHAIDATY❤💕 :
naomba wakubak atabak wa kwenda ataendaaaaaaaaa
2026-08-15 15:49:40
0
uhty fey💞💓 :
nawao wasituombe k zetu bhna khaa😂
2026-08-18 14:35:41
0
Dimpo🌹💞 :
hat usipowaomba wanaondoka usitupigie kelel bhn😂
2026-08-25 21:12:45
0
Cut _Emmy🥰❤ :
Naomba uzuriii
2026-07-17 17:53:40
0
To see more videos from user @sanideo.tz, please go to the Tikwm
homepage.