@realtulia: Twebhabhilamila pusi 😂

Tulia
Tulia
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 15:30:01 GMT
145151
8448
168
103

Music

Download

Comments

user1022331668777
user1022331668777 :
ipo siku atakuja kuwa rais huyu mungu tunakuomba umpe maisha malefu huyu mama nakupenda sana mama
2026-07-06 13:12:29
24
sesilia.temu
SGT🥰 :
🥰🥰🥰🥰 na mimi napenda familia yenye tabasam kila wakat
2026-07-05 16:57:01
42
barakamaccode57
Barakamaccode57 :
Mama danny
2026-07-06 17:28:06
1
tony.mohd0
tony Moh'd :
wa nyakyusa gonga like
2026-07-06 17:07:19
7
sabinaseth6
Saby💞 :
naomba soda
2026-07-06 17:12:02
0
ramadhani.salum.ma
RAMADHANI SALUM MAPANJA :
saf sana mweshimiwa nakupenda sana alakati zako mngu akubali
2026-07-05 16:38:51
10
mama.tide
Mama Tide :
Hakuna kama mama ,mama ni mzuri mweeee🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-05 15:44:59
3
royal.rogers1
aloyce shizya :
Mama Mungu awe na wewe katika Kila jambo unalolifanya lifanikiwe🙏🥰
2026-07-06 14:07:18
4
mglcq
Cath :
Nakukubali sana dadangu, Mungu akulinde
2026-07-06 16:13:38
1
winflida.gabliel
Winflida Gabliel :
Nakupenda bila sabubu yoyo ila❤️❤️
2026-07-06 15:25:54
1
user72933474131830
Elizabeth paul💞💞🔥🔥 :
ninaipenda familia yenye furaha muda wte mbarikiwe sana nawapenda ❣️❣️👈🙏
2026-07-06 04:16:51
4
user4927294579107
editha :
Tulia ubarikiwe sana jichanganye hivyo hivyo na watu wote achana na mambo ya kuangaika na vyeo tutaviacha duniani🙌🙌
2026-07-06 06:37:00
7
user9326099918151
nurs :
una mambo mengi mungu akutunze🥰🥰🥰
2026-07-06 05:32:39
3
siahdavid7
siahdavid7 :
mungu akutunze mama 🙏🙏
2026-07-05 22:08:17
2
floraleonard181
flora leonard :
mungu akuongoze akupe maisha yenye amani na furaha mama yangu
2026-07-06 06:42:40
1
kadweka.adam
KadwekaJr :
Your a good leader
2026-07-06 16:18:21
0
burhanimahmoud
Burhani Mahmoud :
That is way life looks like be happy what the case
2026-07-06 17:39:52
0
user954024020457
user954024020457 :
mheshimiwa nimekupenda bure wala huna makuu Mungu akutunze
2026-07-06 17:21:42
2
yjsamwel
yjsamwel :
safi sana
2026-07-06 04:40:06
1
valentine.apolina5
Valentine Apolinary🇹🇿🇹🇿 :
hee mungu kama tulia ameshindwa kutujinu sisi wanao basi mungu tujibu twakuomba Nini shida Kwa mama tulia mbona tulikupenda Sana Sana , tunatamani huongeze kidgo walau ,, 🙏
2026-07-06 04:32:36
3
mbutoli.peter
official lety💕🌹 :
Nakupenda mama🥰
2026-07-05 16:35:52
4
liancute44
lian🌺💃 :
Maisha marefuu mamaaaa 🥰
2026-07-05 18:30:14
1
sarahnicholas312
Sarah Nicholas :
waoooh 🥰 hongera sana
2026-07-05 21:54:08
1
mussamussa334
Mussa Mussa :
mungu ibariki Tanzania wabariki na viongozi imara kama mama tulia ally na wengine@
2026-07-06 03:47:41
1
To see more videos from user @realtulia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About