tusikimbilie kwa waganga tumuombe mungu Ndiye awe kinga yetu na msaada wetu tufunge na kuomba jamani mungu yupo hatatenda makuu na maajabu anatengeneza njia mali pasipokuwa na njia
2026-07-05 19:18:44
69
Naroboy09 :
kama hujawahi pitia maisha kama ayo huwezi elewa ila ayo mambo yapo
2026-07-06 15:58:45
40
halfcast_glow_products :
nalala mwenyew jmn🥺
2026-07-05 17:13:14
49
kindlynancy :
Sema haya maisha watu wanaishi kwenye vifungo walivyofanya wazee ni wengi sana sema ndio hatutambui, ni kumuomba tu Mungu na kufunga hivyo vifungo.
2026-07-05 18:11:14
40
king 👑 mdoka🤳 :
sio kweli brother
2026-07-05 20:49:03
13
najma :
Siku hizi hutangazi vipo dozi Tena umekuwa mtu wa stori