@samir_abed_: Maqam (mahali pa heshima/kumbukumbu) ya Sayyidna Bilal huko Damascus. Je, unajua mapenzi ni nini? Mapenzi ni Sayyiduna Bilal kukataa kutoa Adhana baada ya Rasulullah (s.a.w) kufariki dunia, kwa sababu hakuweza kustahimili kuitoa bila kuuona uso wake mzuri. Na mapenzi ni Sayyiduna Bilal kuondoka Madinah na kuhamia Syria, kwa sababu kila kitu Madinah kilimkumbusha Mtume (s.a.w), na hakuweza kuishi katika mji huo bila kumuona Rasulullah (s.a.w) kila siku. Na mapenzi ni Sayyiduna Bilal alipozuru madina na kuombwa apige adhana na alipofikia sehemu ya kumtaja mtume Muhammad (s.a.w) ile “Ashhadu anna Muhammadan Rasulullah (s.a.w)…” alipasuka kwa kilio, na Maswahaba wote wakalia pamoja naye mpaka ndevu zao zililowa kwa machozi. Kwa nini? Kwa sababu katika siku yao ya furaha kubwa kabisa, mioyo yao ilikuwa imevunjika kwa huzuni kuwa furaha hiyo haingeweza kuishiwa pamoja na Rasulullah (s.a.w). Na mapenzi ni Sayyiduna Bilal alipokuwa katika kitandacha mauti akisema: “Ni siku iliyojaa furaha iliyoje! Kesho ni siku ya kukutana na Muhammad (s.a.w) na Maswahaba wake!” Usiondoke bila kunifollow naomba

Samir🔐
Samir🔐
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 16:27:04 GMT
6528
682
14
25

Music

Download

Comments

user0658203459
jumanne nasoro :
mashaalaah
2026-07-12 04:45:44
0
abuyassir03
abu Yassir :
radhiya allahu anhu
2026-07-11 11:10:36
0
user3882752230885
swiddiq :
Mashallah
2026-07-11 11:31:15
0
mu16253
mu :
mashallah
2026-07-10 14:34:38
0
user631358497520
NASRA :
amibi
2026-07-05 22:19:11
0
mazuu98
mazuu :
رضي الله عنه
2026-07-06 08:55:57
0
zainabaziz149
zainabaziz149 :
mashallah
2026-07-06 14:41:26
0
juma.msenga5
BABA mwenye nyumba :
insha'Allah
2026-07-05 17:11:44
1
rajabu2554
rajabu255 :
inshaallah
2026-07-05 18:25:49
0
nila55748
lady 🌸🦋🥰 :
🥰🥰🥰🥰🥰 inshallah yarab
2026-07-05 19:45:09
0
ast02764
AST :
Allahu Akbar
2026-07-11 16:37:29
0
ashakumba
Asha :
Allah akbar
2026-07-06 04:48:52
0
user6813031966097amina
Amina Amza @@❣️💖💖💖 :
🥰🥰🥰
2026-07-05 16:58:12
1
dumbell867
dumbell :
🥰🥰🥰
2026-07-08 17:00:33
0
To see more videos from user @samir_abed_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About