@mkulimasolution: TUNAUZA FOOD CHOPPER MACHINE | MASHINE YA KUCHAKATA MATUNDA NA MBOGA KWA MIFUGO 📞 +255 658 375 861 📲 @mkulimasolution @mkulima_solution 🕖 Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) 📍tegeta/kariakoo – Dar es Salaam — FOOD CHOPPER MACHINE ni mashine maalum ya kuchakata matunda, mboga mboga na vyakula vingine laini kwa ajili ya kulishia mifugo kama vile: 🐓 Kuku 🐄 Ng’ombe 🐐 Mbuzi 🐇 Sungura na wengine. Mashine hii ina ujazo wa kilo 10 / lita 10, imetengenezwa kwa stainless steel hivyo ni imara, salama na rahisi kusafisha. — Faida za Food Chopper Machine: ✅ Inachakata kwa haraka na kwa usawa ✅ Inamix vizuri vyakula kwa uwiano mzuri ✅ Inaokoa muda na nguvu ✅ Inafaa kwa wafugaji wa aina zote – wadogo na wakubwa ✅ Inasaidia kuongeza tija na afya ya mifugo — MKULIMA SOLUTION tunauza mashine hizi bora kabisa na zenye viwango vya hali ya juu. 📍 Tembelea ofisi yetu Tegeta – Dar es Salaam au wasiliana nasi moja kwa moja: 📞 Call/WhatsApp: +255 658 375 861 — #foodchopper #chakulachamifugo #mashineyamifugo #kulishiamifugo #mifugobora MKULIMA SOLUTION | DAR ES SALAAM