@mmfood03: Mm chakula 😋#FoodTok

MM FOOD
MM FOOD
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 17:49:00 GMT
957404
16876
216
600

Music

Download

Comments

kingchagga
Nyeusi#King Chagga :
mjomba unazingua masai na kitunguu wapi na wapi mzee
2026-07-06 12:12:23
97
ericklenjima
The Perfects :
Wamasai tunatajwa tajwa hovyo sana humu
2026-07-06 16:55:04
32
mockline5
Mockline :
wamasai hatuli hvyo,tunakulaga natural mda mwingine hata bila chumvi hzo spices uongo
2026-07-06 13:25:36
9
loveness.innocent4
love :
kwahiyo huo mkono ni wamasai
2026-07-06 13:11:09
11
mmarecan9999
ᴍ𝚖𝚊𝚛𝚎𝚌𝚊𝚗🇺🇲 j𝚛 :
Mzee umezingua wamasai kupika kwa usafi wapi nawapi au wamasai wa mjini😂
2026-07-06 14:40:31
11
user928431025279
Edna💕💕 :
amnaaa, Amna Wamasai hawali hivyo
2026-07-08 10:25:48
1
listah68
Kalister :
Wamasai wawapi bro
2026-07-07 11:05:53
3
user17150594442446
Jonathan :
wamasai wa oysterbay hao😂
2026-07-06 11:39:02
4
salimusalehe66
Salubrand :
wamasai wa wapi hao
2026-07-09 08:13:43
2
heaven84951
heaven :
oya sisi hatunaga hayo marembo umefeli aloo
2026-07-14 17:30:08
1
user9449626581831
user9449626581831 :
hiyo sio ya wamaasai
2026-07-11 13:44:51
1
marthamunga52
fresh juice :
wee usitupime bangi hii mikono niya Masai kweli
2026-07-10 11:27:45
1
sylviamalaika7
sylviamalaika7 :
Naomba kuonja
2026-07-26 15:55:00
0
mwaipopoj
MwaipopoJ :
umewasingizia wamasai
2026-07-06 17:16:36
5
marrymsangi966
Ms💕 marry🫦 :
mnasem wamasai na anayekata kata hapo ni mzungu
2026-07-10 06:29:29
1
udaty.mendez
udaty mendez🇹🇿 :
wamasai gan ninaowajua mie au wengine
2026-07-22 11:43:23
0
usermeja4
Mr kagan :
labda mmasai ww sisi hatuhangaiki na viungo muda mwingine hata chumvi tunasahau
2026-07-07 15:33:49
1
vinny.official65
Vinny Official@ :
wamasai wana mda na hivo vitu kweli😁😏
2026-07-07 07:54:49
1
richbo007
richbo007 :
unaongelwa Wamasai wa wapi
2026-07-07 14:09:42
1
mafalencia
LOVELY THE QUEEN ❤️ 💜 :
wamasai wa wapi hao
2026-07-06 17:05:03
0
jongolomeza
jongolomeza⛎ :
pika sukuma wiki
2026-07-06 11:48:03
1
matha.jackson42
Matha Jackson :
hawa hawa nilijuwa mm au😳😳
2026-07-06 12:07:08
1
othmanamir8
Otham Alamir :
wamasai
2026-07-06 08:53:37
1
tumainiraphael8
tumainiraphael8 :
mtuache😅
2026-07-06 05:55:32
0
To see more videos from user @mmfood03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About