@chosenone_tz: The Famous Players wamewataja wasanii wa muziki wa Bongo fleva Marioo, Diamond, Alikiba, Rayvanny, Chino na Vanillah kama wasanii ambao huwa wanawasikiliza zaidi huko Ghana. Muziki wa Tanzania unafika mbali sana, heshima wapewe wasanii wetu. #chosenoneblog