@destiny_dreamfate: Kwenye kusherehekea miaka mitano ya @youngceo_roundtable na uzinduzi wa Young CEO Awards 2026, Mheshimiwa @ericshigongo ametoa ujumbe wa muhimu sana kwa wafanyabiashara ili waweze kufanikiwa kwenye biasharai zao. Zingatia kanuni ya SEC ili uweze kupata mafanikio ya kibiashara 📌 📌 📌 #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo