Kwa hivyo wewe Dalali wamchukia Nabii issa na yaakub na Musa As wote ni mayahudi?
2026-07-06 15:24:05
1
Abdulla Bin Mana :
Shekh Abdallah humeid usijitoe akili ndugu hubba iwepo ktk vipenz wa Allah ukisema kuhusu ibilis au fir aun ni makhsuu laana kwao soma history ambapo rasuul aliishi na mayahudi na kuamiliana nao vizur na waliokuwa wakorof alitengana nao kw ukorofi wao soma sira rasuul aliposimama kwa msiba wa kafir na kuwaambia maswahaba watoe heshma ya kusimama tatizo lenu mawahabi hawamjui Rasuulu swalla llah ayah wassallam
2026-07-06 12:50:41
2
CALIPH || :
chuki zitakuua dalila😂
hajasema apenda makafiri asema mayahudi na kama kupenda mayahudi ni vibaya mtume asingemuowa nana safiyyah bin huyayy na rayhan bint zayd wote walikua mayahudi.
MAWAHABI SOMENI.
2026-07-06 18:27:26
1
Scorpio786 :
2026-07-06 11:12:33
4
user1637106188539 :
wewe unae kafirisha mashekhe uko na elimu yao khurafi mkubwa wewe
2026-07-07 06:28:31
1
💯Abuu Quhafaa😊 :
Santaa Sheikh
2026-07-06 14:55:13
2
tomkahil :
Allah amfufue na wao
2026-07-06 08:06:47
4
أبوالمرتضى عين الرضا علي جمعة :
VIPI NA YULE WASAUDIA ALIOSEMA ET MAYAHUDI WANA TABIA NZURI KULIKO WAGAZA , NA MWENGINE AKASEMA KWAMBA HAKUNA HAJA YA KUPIGANIA PALESTINE MAADAM HAIJATAJWA KTK QUR'AN BORA ISRAEL IMETAJWA
2026-07-06 13:59:47
2
swaleswaleh :
walah huna haki kuita mtu hivo wewe waonyesha elmu yako duni
2026-07-10 11:39:14
0
abdallah25455 :
Hawa mayahudi wanatakiwa kulinganiwa waingie kwenye Haki yani uislam. Kama ukiwachukia wataingiaje kwenye uislam? Na wapende kama Binadamu. kwa kuwatimizia Haki zao kutoka kwako. Kwani mtume Muhammad ametufundisha tuwapende watu kile tunachopendelea nafsi zetu.
2026-07-08 00:22:28
0
Jamal Omar :
Alo post hii nimnafiq Hana adabu mkosa ilimu Hawa hufungua account kibao 200 kila siku kudharau Mashekhe wenzao
Shekhe Na alopost Wanafiq
2026-07-09 10:19:28
0
abuu junada💬 :
😂😂😂 jufri mtihani sana
2026-07-06 18:32:12
2
Osama :
Humeid hiyo siohoja.Zote binadamu wa Allah,.wako mayahudi tangu wakati wa Mtume.
2026-07-21 16:31:15
1
alhaddarboy :
Allah ampoze kidonda
2026-07-07 08:02:56
0
Princess :
manabi mungu kawapinda mayahudi wamilaniwa
2026-07-06 21:51:07
0
user9539068570612 :
Mnadhihirisha kuwa hamna ilim
2026-07-06 21:18:22
0
ABU ASIA_ ASALAFY :
😂😂
2026-07-06 16:14:02
2
To see more videos from user @abufafiassalafytv, please go to the Tikwm
homepage.