ulinipa tabasamu,moyo ukachangamka,Kila nikikuona dunia inanivutia.mapenzi si mchezo,nimekubali sasa, wewe ndio chaguo,sitarudi nyuma.
2026-07-16 18:21:55
6
Haish~cute✨🤍 :
mim nataka kuimba ❤️
2026-08-15 14:28:34
2
Dadaake pirot🤑 :
msanii wa bei ya jioni nipo nipe beat nikuchape😂😂😂😂😂
2026-07-07 16:39:32
6
mape :
malume iyo agaa
2026-07-07 18:38:34
2
peejay junior :
heka hizi line kisha nimbie
2026-08-19 16:01:18
2
bee brandy :
ndio mi nipo
2026-07-07 22:09:38
2
Toto thuma :
mm hapa naeza kuimba🥰🥰🥰
2026-08-19 14:28:00
2
Jay_ Mgwan🍁 :
DEVOO🔥🔥🔥
agha agha skilz iyo
kama hukunipenda c bora ungenmby,
kuliko kuumizan kisa we wakishua,
japokuw kaz nlikuw mm sina,
lakn nlipamban ili we upat dinner,
inaum san na ten inachomaaaa
2026-07-16 10:29:30
7
Ít's~Me~Døñ br££$h¥~🥶 :
ndio mimi apa kaka nitumie namba zako nikutafutee bro