@mwl.emilian.katub7: Wiki hii Ninakuombea Mungu akupe Mlango utakaobadirisha maisha yako. Kuna mlango unauhitaji kwenye maisha yako na huo mlango ukikufungukia lazima maisha yako yabadirike tu. Biblia inasema nimekupa mlango mkubwa na wakufaa sana mbele yako, Maana yake nimekufungulia mlango mkubwa na wakufaa sana mbele yako Kumbe Mungu anaweza kukupa mlango mkubwa na wakufaa sana, kumbe Mungu anaweza kukufungulia mlango mkubwa na wakufaa sana Wiki hii nimekuombea sana Mungu akupe huo mlango mkubwa na wakufaa sana katika jina la Yesu. Mlango ambao utafanya maisha yako, uchumi wako, Biashara yako iinuke Pokea huo mlango Wiki hii kwa jina la Yesu

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 04:29:51 GMT
91572
15128
3125
739

Music

Download

Comments

jaivahstar27
jaivah star :
MUNGU NAAKUFANYIE KICHEKO MSOMA COMENT 🥰🥰🥰
2026-07-06 07:09:31
143
dr3c05
Berly@vivacious :
Amina ,najifungamanisha na baraka hii ya kufunguliwa lango moja kubwa na kicheko kutoka kwa Mungu🙏🏾🥹
2026-07-06 04:54:25
45
user8582507459371
philo :
amen amen amen amen âmen
2026-07-06 20:33:23
0
juliusotto848
TossKidda :
Ameeeeeeeeeeeeeni Ameen Ameeeni🙏🙏
2026-07-06 04:46:41
15
user1281761082356
elizagetry :
Amen naomba milango ya watoto wangu ifunguke kikazi hawana .naomba maombi yko. pasta
2026-07-06 20:31:46
2
naomi.pastory
Naomi Pastory :
Napokea upako huu ukatembee katika familia yangu, katika kaz yang, katika uchumi wangu,na katika malengo yangu katika Jina la yesu Amina 🙏
2026-07-06 04:56:44
9
usertm4e1mlqtt
love lucy :
Amina napokea kwa jina la YESU🙏
2026-07-06 05:03:39
33
janebenitas
janebenitas :
Amen Ameeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeeeen
2026-07-06 20:35:33
1
kevin.omondi92
Kevin Omondi :
Amen and Amen
2026-07-06 18:49:42
1
sarah.mbayan
soniah💞 :
ameeeeen 😭😭😭😭😭
2026-07-06 06:58:19
1
joshua83812
joshua :
🙏🙏🙏🔓🗝️👋Ameeeee
2026-07-06 09:00:06
1
a.bad.person.1kam
A bad person 1kama1 :
Watu wa Mungu naomba video kama hii ningetarajia watu zaidi ya 10m wangekuwa wamaitizama nashangaa video ambazo hazina mafundisho muhimu ndo zinatrending Watu wa Mungu tufokasi na neno la Mungu maana yeye ndo Muweza wa yote ningetamani video kama hii ndani ya wiki moja iwe na comments zaidi ya 5m like zaidi ya 10m na kusher kwa watu wengi wapate uponyaji juu ya maneno haya nawapenda sana watu wa Mungu Mkapate uponyaji kupitia maneno haya Ameen❤️❤️💯🙏🙏
2026-07-06 08:52:39
12
lihuada0
Lihu Ada :
tuko pamoja baba mungu akutiye nguvu mutumishi wa bwana amen Amen amen Amen amen Amen amen.
2026-07-06 16:51:04
1
peaceabesiga
Peace Abesiga :
naamini mtoto wangu atapata KAZI kwa njia rahisi🙏
2026-07-06 04:45:29
9
chepngetichangeline79
chepngetichangeline79 :
Amen Amen Amen 🙏🏾
2026-07-06 11:04:51
2
official_magi3
de xhiv00🦋🦋 :
AMINA 🙏
2026-07-06 07:20:09
1
user4523146111457
user4523146111457 :
Amen Amen Amen̈
2026-07-06 20:20:52
0
kidungu_maria
Kidungu Maria :
I PRAY THAT THE LORD OPEN DOORS FOR YOUR FAVOUR 🥰🌹🥰 Isa.22.22 I will give him the key to the house of David--the highest position in the royal court. He will open doors, and no one will be able to shut them; he will close doors, and no one will be able to open them. (NLT) 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 John.10.9 I am the Door; anyone who enters in through Me will be saved (will live). He will come in and he will go out [freely], and will find pasture. (AMP) 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 Rev.3.7 "And to the angel of the church in Philadelphia write, "These things says He who is holy, He who is true, "He who has the key of David, He who opens and no one shuts, and shuts and no one opens": (NKJV)Rev.3.8 "I know your works. See, I have set before you an open door, and no one can shut it; for you have a little strength, have kept My word, and have not denied My name. (NKJV)🌹🌹🌹🥰🌹🥰
2026-07-06 10:14:47
1
estahamudi
estahamudi :
Amen napokea kwajina la yesu wanazaret @
2026-07-06 10:10:47
4
user4290012580803
tina@ :
Mwenyezi Mungu unifanyie kicheko mm na familia yangu Amina🙏
2026-07-06 16:30:39
1
misjane37
@Miss jee❤️🥰 :
eee Mungu naomba unifungulie milango ya binguni na madilisha ya mbinguni
2026-07-06 08:07:02
1
judithcarine0
judithcarine :
amen amen
2026-07-06 06:52:08
1
sally.lagat
Sally Lagat :
Ameen amen, Mungu afanye miujiza kwa biashara yangu katika jina la yesu
2026-07-06 19:19:25
1
petu.lulyeho
PETU LULYEHO :
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
2026-07-06 20:56:46
1
merryjohnjohn31
merryjohnjohn45 :
Amen Amen 🙏🙏🙏
2026-07-06 05:45:42
1
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About