@nexus_pcbuildstz: Kama Una card ndogo kwenye game ya ETS 2 epuka Setting ya scaling kwenye graphics settings. Usitumie graphics presets... Optimize settings kulingana na uwezo wa card yako #ETS2 #foryou #foryoupage #fypシ #fyppppppppppppppppppppppp
je gtx 1650 4gb yenye pin 6 inawza kucheza
ultra 1080p na nikishusha hio scaling ??
2026-07-06 04:53:22
2
yuzogaming :
Nvidia na AMD za 2gb waweke 100 scaling ikiwa Iko slow washushe 75 scaling, wa 4gb graphics wenzangu 100 ikizidi 200 hapo mambo super😉
2026-07-06 15:09:36
1
Ayoub khan :
hay mwenyew rtx 4060 scaling ngap aweke
2026-07-06 05:41:53
2
GIDDO GAMING :
Oya hiyo web cam unayotumia ndo hiyo ya saa tisa na dakika 50 ?
2026-07-08 11:53:59
1
coolmanlas :
kaka ka rx 6600 xt hii tunaekaje hapo
2026-07-08 11:46:19
1
muhidiniabdulrazaq7 :
Rtx 2060 vip apo?
2026-07-06 10:16:34
1
Adam Nandute :
Gamers huwa tunaprioritize fps than quality
2026-07-06 14:39:15
1
Chief :
Game hali support multi core hatakama cpu yako ina core 8 bado litatumia core moja hivyo linataka powerful single core cpu sio GPU na game lenyewe haliko optimized hata ukiwa na high-end GPU bado utaexperience stuttering unapoingia mjini hasa miji mipya au maeneo yenye msongamano
2026-07-06 22:43:50
1
IBR厶Y0 :
RTX 2060 hapo vp
2026-07-06 07:57:19
1
Azizi Kiruwa :
ukiwa na Rtx 3070 ti kwesha alafu ilogemu Lina tegemeya prosesa kadi kazi yake kungalishatu sw baba
2026-07-06 15:33:52
1
Samudir :
Nahijati hilo game kaka nakupataje?
2026-07-07 06:56:40
1
SLEVO GAMING :
watu wengi wanapenda card za bei cheee than wacheze ktk high performance, wanajisahau sana 😂😂😂
2026-07-06 07:39:34
1
frenkwhite1 :
una version ya 1.60? au 1.59?
na je una cheza stream?
2026-07-06 09:16:28
0
The Dreamers Game Hub :
Mtaalam👑
2026-07-06 11:54:40
1
Cphine Sonic :
Me Nina qadro k2200 gb 4 nitumie scaling ngp?
2026-07-07 20:33:11
0
R.Jegga 🎮 :
🤣🤣mambo yetu ayoooo 400 tunateleza tuu bila wasi wasi 🤣🤣🤣
2026-07-06 06:53:13
1
Noel Kyando :
kadi ndogo ni gb ngap had ngap
2026-07-06 12:25:57
1
Revocatus :
web cam unayotumia hapo how much
2026-07-06 09:17:08
1
😎 :
what if uamue kucheza na config pale kwa docs
2026-07-07 14:36:35
1
To see more videos from user @nexus_pcbuildstz, please go to the Tikwm
homepage.