@hubofwisdom.inc: 🤝 Huenda tatizo si kwamba huna uwezo... bali bado hujakutana na mtu sahihi. Dr. Joel Nanauka anasema kuna watu ambao Mungu ameweka kwenye safari ya maisha yako ili wakusaidie kufungua mlango wa hatua inayofuata. "Yusufu alihitaji watu wa kumtaja. Yoshua alimuhitaji Musa. Yesu alitambulishwa na Yohana Mbatizaji. Daudi alikuwa na uwezo wa kifalme, lakini alibaki kuchunga kondoo mpaka alipokutana na watu waliomvusha kwenye kusudi lake." Swali si tu una ndoto gani, bali... 👉 Je, unajua ni watu wa aina gani unahitaji? 👉 Utawatambuaje? 👉 Na wewe una maisha ya kuaminika kiasi kwamba watataka kuambatana na wewe? Mafanikio makubwa mara nyingi huanza na mahusiano sahihi. 🎥 Tazama somo hili kamili kwenye H.W TV YouTube na ujifunze jinsi ya kutambua na kujenga mahusiano yanayoweza kubadilisha maisha yako. 💬 Swali la mjadala: Je, kuna mtu ambaye aliwahi kubadilisha mwelekeo wa maisha yako? Mtaje (kama inawezekana) au tusimulie alivyokusaidia. ❤️ Follow @hubofwisdom.inc kwa mafunzo ya kusudi la maisha, uongozi, biashara na maendeleo binafsi. #JoelNanauka #DestinyHelpers #Kusudi #Mafanikio #Leadership #Networking #Mindset #PersonalDevelopment #HubOfWisdom #HWTV
hubofwisdom.inc
Region: EN
Monday 06 July 2026 12:00:00 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.