am really longing to join KDF though am from humble background
2026-07-23 19:12:03
0
BaBa Tatie 😍 :
bro it hurts coz nilichunjwa tukiwa training juu kuna mtu alihongana mtoi wake atafutiwe nafasi ......na mimi niliapa i will always use my training kujilipishia and am oky now
2026-07-25 06:31:48
0
SHAboozie$ :
instructor aliniangalia nikacheka😅 thats how i lost it 😂
2026-07-18 10:13:00
11
Josse :
nilikimbia nikafika wa kwanza wakaniambia huwachukui wezi
2026-07-16 11:24:51
15
buruja ♻️ :
walinishow miguu yangu inakaa ya bata aiezi nkawshow dio best kwa navy nlivaliwa kofi cjai heal walaih
2026-07-18 07:47:05
6
irungu ng'ang'a :
Mimi niliulizwa "kijana mlikuja na nani? ,nikasema pekee yangu,nikaambiwa next time try kukuja na mtu utasaidika
2026-07-17 13:11:02
4
Sir Kelong :
45kg yangu eti kilo ya kuku 😂😂
2026-07-16 09:21:30
3
Peter Tally :
natamani hiyo job
2026-07-14 14:17:40
4
fridah the only girl :
mm waliniambia mbio yangu ni ya mwuzi.😳
2026-07-15 06:08:11
3
ciddy Royal 254 :
money I mean godfather
2026-07-19 18:47:08
1
Ekiru :
Eti kichwa yangu ni ndogo nitapoteza kofia ya jeshi 💔
2026-07-16 23:43:17
7
Stellah 🦋🦋 :
life is Soo private that no one knows my brother is on the front line
2026-07-17 16:04:53
1
Apollo :
Juu atuna connection
2026-07-17 11:45:22
3
Qareem :
mungu alitaka niwe daktari sio jeshi
2026-07-19 12:34:36
3
Monica mwangi :
Jesus love
2026-07-17 07:05:01
1
Rama :
Hongo nikawa Sina hizo hela.
2026-07-14 19:02:13
4
Humble soul🫂❤️ :
nikiambiwa Niko na tumbo kubwa nimeanza kukula hongo nikiwa raia
2026-07-18 07:50:49
2
kipkurui fc kenya :
kitu kidogo
2026-07-17 09:41:18
1
💫💫🌟♥️ LANDMINE 👑 ♥️💫🌟♥️ :
Ati niko handsome, nikue DJ🤔🤔🤔🤔😭😭😭
2026-07-17 15:59:29
1
Humphrey038 :
sikua na doh but ni sawa tu
2026-07-16 08:41:16
4
kulelo🇰🇪🇹🇿🇺🇬 :
mzazi tajiri
2026-07-16 16:05:32
3
Daniel Kafu :
nilikuwa perfect Kila kitu 🤔
2026-07-14 15:49:08
1
emjanesson472 :
Waliniabia miguu yangu miwili ni ya kushoto,sijai pona.
2026-07-25 08:27:14
0
maloba🇺🇸 army 🇰🇪 :
thanks bro
2026-07-21 10:35:45
0
To see more videos from user @shifohmjujah, please go to the Tikwm
homepage.