@dolphine254: 🚆 SGR Travel Tip: Don't gamble with time! Arrive at the station at least 1 hour before departure to avoid unnecessary panic, long queues, or missing your train. Have you ever almost missed the SGR? Share your story below! 👇 #SGRKenya #MombasaExpress #TravelTips #KenyaTravel #ExploreKenya
Nilipanda boda nikaenda kungoja Athi River station 😂
2026-07-07 11:37:14
535
NorahR :
shida ni ufike uambiwe ticket ni Ya mombasa Nairobi
2026-07-08 01:20:24
196
Javan Jnr :
You lose nothing by being early
2026-08-13 10:13:39
42
Khalid Gitonga :
But si people coming from town should take the 50 bob train from Central Station. Saves you all the hustle.
2026-07-09 06:05:21
20
Fohr Cycler :
Mbona unianike hivi lakini😂
2026-07-07 06:34:27
48
Sentrix kashy :
movement by running 🤣
2026-07-07 06:06:14
152
Amazyng videoz :
how to book and pay ?
2026-07-06 19:26:43
17
ceynash1 :
this is not for the weak. being in this situation is a lesson
2026-07-06 18:37:14
110
@mcderick :
I always arrive there 2 hours before time na ile ya Nairobi bound train, ile ya 50bob kutoka railways
2026-07-07 15:38:47
15
blandinanthenya69 :
mimi hufika hata 2hrs to departure, hiyo stress ziwezani.....afadhali nifike nisome novel as I wait.
2026-07-08 08:27:06
14
Mschana wa Alice🥰 :
Alafu sahio hujui hata entry Iko wapi😂😂😂😂
2026-07-12 23:33:26
40
Melissa Wamuyu :
nimeona place ya kuenda nishinde nikicheka😂
2026-08-15 08:19:02
16
Bella.O@254 :
Si mtoke home mapema, mimi sipendi stress i would rather sit there for 2 hours! 🤣🤣
2026-08-13 06:56:02
5
littleregy :
Halafu ukuwe na luggage Yoh ! 😂
2026-07-06 20:07:57
14
🇸 🇮 🇷 🇬 🇴 🇲 🇪 🇿 :
I enjoy that last minute struggles with bags and kids 👌👌👌
2026-07-06 20:11:32
14
Milly O :
siri ya sgr NI kutravel bila mizigo na watoto wueh Chenye nilijonea kama nikona mzigo na watoto heri nipende basi,sgr tamu kama unatravel solo alafu you keep time
2026-07-08 14:20:15
13
B🐝 :
Mimi nayo wacha tu inawachee…I won’t run😂😂😂😂nitaanguka tu hapo I embarrass myself
2026-07-07 07:20:26
8
Tom Tomito :
If I tell you my story at the Mombasa Terminus 😂😂😂😂
2026-07-06 18:16:56
8
atsaliamisi :
wacha tulipeleka watoto trip sema kuwa kipchoge na watoto kwa lift
2026-07-30 08:47:14
1
high lifted 🙏🙌🙌# 💰💰💵💵 :
𝙠𝙪𝙠𝙞𝙢𝙗𝙞𝙖 𝙣𝙞𝙡𝙞𝙠𝙞𝙢𝙗𝙞𝙖 𝙬𝙖𝙘𝙝𝙖 𝙩𝙪😂😂😂😂😂
2026-08-12 16:12:34
4
Mbau Finest :
last minute can save a man also woman 😂😅
2026-08-15 05:57:25
4
joel :
😂😂😂
2026-08-09 01:33:48
2
Lauren :
cjui naona zangu kunakaa smart than international airport
2026-07-08 14:38:24
1
Rozzy mimz🥰 :
sijawai jua niko na mbio adi time nilikua almost kuachwa adi lift ilikua slow nilipanda stairs mbio
2026-07-12 20:07:31
3
NJERI :
ilinikuta my heart almost came out😂😂
2026-07-08 19:21:54
4
To see more videos from user @dolphine254, please go to the Tikwm
homepage.