@ibuu_tz: Hii ndiyo Episode ya Mwisho ya simulizi hili. ❤️ Lengo langu halikuwa kumcheka wala kumdhalilisha mtu yeyote. Nilitaka watu wajue sababu iliyomfanya mchina azungumze kwa maumivu na kushindwa kuzuia machozi. Naomba tujihadhari kutumia sauti ya mtu aliyekuwa kwenye maumivu kama sehemu ya utani. Wakati mwingine tunacheka kitu ambacho kwa mwingine ni kumbukumbu ya huzuni kubwa. Asante sana kwa wote mliofuatilia simulizi hili kuanzia Episode ya Kwanza hadi Mwisho. Upendo na heshima viendelee kututangulia. 🙏❤️ #final #ibuutz #mtotowarais