@phoibe_mbaga: Mrembo unatunzwa na Mme wa mtu na bado unataka kuvunja ndoa yake🤔🤔🤔#fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktz🇹🇿🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #tiktokcongolais🇨🇬🇨🇩
Mimi sion ch kumfnya yule Dada jmni Mung amlipe nimemuachia nyumba kasusa n watoto analea wa kufikia Il Mung mwema na mwaminifu
2026-08-05 04:31:58
2
Zakati Zogoro :
mimi mungu atanisamehe maana sikuwahi kusumbua mtu na ndoa yake sasa nimepata wangu akaja mchepuko sasa sipendi kuumia mwenyewe nimeuliza unanisaliti akasema nibati mbaya nikachukua namba ya mchepuko nikamuuliza wewe ndie unaninyima mimi amani ya moyo akanijibu jeuri nikakata simu yangu 💃💃 nikamuachia mungu jamani huyo mungu. ila sio mungu wangu waimani yangu atajuta nawambia kweli nawala sitanii tulio olewa tunadharaulika sana
2026-07-30 06:48:05
8
2Joy :
saf dad
2026-08-02 04:06:21
0
Jackline Kimaro :
Asante dada
2026-08-01 19:21:56
0
REBEKA SAMWERI :
wambie dada
2026-08-03 17:18:35
0
jjj :
Asante kipenz
2026-08-01 12:17:31
0
Wema :
umeongea points
2026-08-01 11:47:26
0
Sophia Mgala :
kabisa wambiye
2026-08-01 12:02:02
0
Veronica gambi :
waeleweshe waelewe dada
2026-08-01 20:14:56
0
Khadija Shosi :
😅😅😅 nisem kwakukaa au kusimam
2026-08-05 05:49:15
0
Getrud :
kweli
2026-08-01 09:11:54
0
SIM. :
asante dada wambie
2026-07-29 21:08:54
0
joyc Jeremiah :
ubarikiwe dada angu mm Kuna rimoja rina isumbua ndo yangu lilaniwe marambili yake
2026-07-26 22:57:06
1
Teddy Enock :
true
2026-07-23 11:31:29
0
Dida :
wambie dada
2026-08-01 21:04:35
0
vuhaka kakule :
merisi
2026-07-06 18:14:01
0
user5273395018366 :
kweli
2026-07-31 17:12:41
0
Frida saimon Mollel :
barikiwa sana kipenzi
2026-07-26 19:08:19
0
agnes_26tng :
kweli dada.
2026-07-08 09:17:01
0
binam store :
kwelidada Kuna Mmoja anasumbuwaa ndoa yangu naomba mungu amulaani
2026-07-29 13:31:31
0
Etablissement Efata :
ni kweli ile
2026-07-07 07:23:48
0
3702 :
kwl
2026-07-06 17:19:33
0
Nancy :
Kwangu kuko vivio na mungu anilipishie
2026-07-31 09:50:43
0
Hellen food🍲 :
umeongea.vizuri sana.kipenzi
2026-08-01 18:44:39
0
To see more videos from user @phoibe_mbaga, please go to the Tikwm
homepage.