Anipe subra na kuniongoza Katika mwenendo mzuri na kuniondolea mitihan yote anifungulie kheri na kuniepusha na kila Shari juu yang na a nisamehe kwa Yale yote niliyoyatenda ili Hali nilikuwa najua na Yale niliyokuwa siyafahamu Amiin thumma Amiin inshaallah 🙏🤲🏾
2026-07-06 20:25:58
11
sabrinashilla :
Afya njema mim pamoja na familia yangu na ridhki za halali ya rabb na mwisho mwema 🤲🤲amiiiiiiiiiiin
2026-07-07 19:20:23
20
@zingally02 :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-07-08 10:42:41
10
salha :
anilindiye mama yangu Na mwanangu Na nduguyangu anipe Na mwanaume ninaye mpenda
2026-07-06 12:47:31
7
FARIDAH FASHION &DESIGN👗✂️🙏 :
anijaalie khery anijaalie mwisho mem mimi na ndugu zangu na waislam wot anijalie watot walio kua wemaa🥺🥺
2026-07-06 12:26:38
9
zulfa :
Allah huenda kuna zambi wazazi wangu au wazee wetu walifanya au sisi tulifanya ndio mana inatutesa Allah tusamehe mitihan ni ming mno Allah wewe ndio mjuzi yatosha Allah mponye kaka angu tufanyie wepesi katika familia yetu utu samehe utujalie mwisho mwema Amin 🙏
2026-07-08 14:05:59
8
To see more videos from user @mrpengo04, please go to the Tikwm
homepage.