@emmanuelmaxmilian3: 1 PETRO 5:8-9 8.Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze. 9.Nanyi mpingeni huyo, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani. #Vaeni silaha thabiti za kiroho mpate kuzishinda hila za shetani. Amen.
EMMANUEL MAXMILIAN
Region: TZ
Monday 06 July 2026 10:52:37 GMT
Music
Download
Comments
hyper ❤️ :
lkn imeandikwa kutoka 14 :14 Bwana atawapigania nanyi mtakaa kimyaaa🥰🥰🥰 mtegemee Bwana mwambie Baba Mimi siwezi nakuitaji wewe unipiganie
2026-07-06 11:24:10
62
Zuri :
eeh Mungu tupe macho ya kiroho😥😥
2026-07-08 16:07:04
26
Elisabeth Mathias :
MUNGU akubariki sana kwa kumtii ROHo mtakatifu
2026-07-06 14:18:00
20
Lioness :
Huyu mtumishi anaitwaje YouTube?
2026-07-07 15:59:49
6
user4881440986841 :
Bwana yesu nataka kuona tena
2026-07-07 11:57:33
5
bettylovy1 :
Mungu mwema hutufunulia mambo makubwa tusiyo yajua ainuliwe Mfalme kristo
2026-07-06 17:54:32
27
mummy sally :
🙏🙏🙏🙏🙏hallelujah
2026-07-06 21:23:32
5
Shantai :
[Sticker] amen and amen
2026-07-06 19:46:40
6
sophia health&Life :
ameeeen mama
2026-07-06 17:31:21
6
newangulo :
bwana nataka kuona tenna
2026-07-07 00:49:35
14
Margaret Massimba :
Bwana Yesu naomba unipe neema ya macho ya rohoni nione tena.
2026-07-21 19:10:54
6
Trxh!! :
Barikiwa sana na Mungu atukumbuke🥰🥰🥰
2026-07-07 11:54:01
7
MONIKA ALEXERNDER :
Unikumbuke na Mimi ee bwana
2026-07-07 09:54:43
5
user32090706934084 :
mungu nipe macho yakiroho
2026-07-07 19:57:31
6
suzett :
Amen Bwana type macho ya Rohoni tupate kuna adui mapema🙏🙏
2026-07-07 12:31:39
7
Annusiatha Rweyemamu :
Bwana nataka kuona tena
2026-07-07 04:50:48
8
Anitha Joseph :
Amen mtumishi Mungu atusaidie sana
2026-07-07 18:41:15
5
lreenGlory :
Bwana Mungu nisaidie nibadilike tabia yangu
2026-07-08 04:37:58
5
Myraotieno :
amen 👏mungu nipe uwezo wa kuona
2026-07-07 08:00:45
5
user97221544246291 :
huwa nakupenda imani yako bacc naomba nibebee imani mama nipate mme mwema
2026-07-06 15:26:35
11
N.Josette Hakiz’imana :
Mungu stupendous macho ya kuona kweri
2026-07-07 03:07:35
6
MarthaMotela :
hapo ndipo pana shida kwa watakatifu!kuongozwa na roho mt ni shida!Mungu nisaidie!nakupenda mamy ❤️
2026-07-08 13:32:49
8
user7785361394743 :
shalom mam samaha naomba unisaidie kunajambo
2026-08-21 14:17:16
0
Leah Kennedy :
hili kanisa liko wap
2026-08-31 04:59:35
0
user7923678449497 :
ni kwel kumwona adui mapema ni faida kubwa
2026-09-14 16:14:50
1
To see more videos from user @emmanuelmaxmilian3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.