@devotajs: Chosen One Hutakiwi kufanya mambo haya: 1. Usisababishe maumivu kwa wengine 2. Usichukue kitu ambacho sio chako 3. Usisababishe kumwaga damu esp. damu isiyo na hatia #chosenone #spiritualawakening #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 11:30:59 GMT
19007
1190
70
30

Music

Download

Comments

user9545115281924
skating :
nah change the content sis
2026-07-10 16:09:31
3
jaginawakike1
Oliver :
Kuna muda najiuliza hivi mimi ni nani au ni tofauti na watu wengine kuna muda hata sijielewi. Nikijiangalia napenda watu nasaidia ila wao sasa khaaa, huna shida nao lakini malipo
2026-07-07 08:50:13
6
benchege400
user1011574304790 :
Mimi ata nliamua kuishi peke yangu kama gate na kusuffer
2026-07-24 04:57:26
2
leekangtnt881
leekangtnt881 :
Kwan chosen one lazima awe na M
2026-07-16 17:17:29
1
mariammhombo
Mariam Mhombo :
Asante dada
2026-07-07 09:35:22
4
kaytoneafric
kaytone afric :
nimeshajijua mm
2026-07-06 11:48:41
1
jonaskitenge466
Jonas Kitenge :
wakati mwingine naweza kukaa sehemu ALAFU nikajiona nipo sehemu nafanya KAZI flani yani Nani reflect mwenyewetuu
2026-07-16 15:18:45
1
user5314372552096
zakaz :
naomba kuuliza unaweza kuwa gloop o iQ kubwa na choosen 1
2026-07-14 20:11:23
0
wiselady254
From your contact :
Asante dada,,lakini tufanyie video fupi jamani,,,,
2026-07-06 19:48:16
2
amadi.paul
amadi paul :
Ok merci
2026-07-18 23:33:24
0
abdulrazakiabdula
Abdulrazaki Abdulazizi Kinega :
Nice
2026-07-09 17:30:40
1
thomasyahya3
thomas yahya :
Asante dada
2026-07-06 12:05:04
2
user2540957800327
Bihemo :
hakika mama
2026-07-07 17:30:49
1
user3226553214241
awa phiri :
dada.nimekuelewa
2026-07-08 13:03:28
1
basill.john
Basill John :
umejuaje hizi
2026-07-06 14:03:15
2
user3980591555968
Out of Protocal 🪂 :
asante sana
2026-07-06 17:52:00
1
eunicechari
miss chari 💞💞🌷 :
Asante
2026-07-06 19:32:35
1
black_sheep991
Janerose :
Mimi nachukiwa sana na wazazi wangu,ndugu mashangazi hawanielewi Bibi yangu anatamani niwe nao karibu lakini mimi Binafsi nafsi ni nzito sana kuwa nao karibu
2026-07-28 01:24:02
0
phideaurassa
caty mamaz💗💗🥰 :
Yani najikuta nina huruma kusaidia watu mpka wengine wanaona nafanya makusudi😳
2026-07-12 23:17:28
2
majaliwa566
majaliwa :
kwa hiyo mambo yatabadilika lini na hayo yote yapo kwangu yote ukijua ufanyeje
2026-07-11 18:44:39
2
mirijj2
THE GIRL OF JESUS👆🏼 :
Kwanza hajazaliwa Mara moja duniani ulishakuja Mara kibao
2026-07-08 05:56:03
2
mwanahamiskahelel
Mwanahamis Kahelele :
mimi huyo nipo kwenye kujitafuta
2026-07-08 10:15:16
1
yazidu.star
Yazidu Star :
your madam hero for me
2026-07-07 15:29:30
2
millstreetcode255
Mill Gee street Code🤑 :
dada Bado sikuelewi unaongea sana ila sipati point ☝️pangilia vitu vyako ukitaka kuongea samahani kama nitakuwa nimekukosea dada
2026-07-07 20:48:05
2
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About