@finishingmaster: 🏠 Bati yako imepauka? Usihofu! 🎨 Irudishe ionekane mpya kwa kuipaka rangi kwa mashine kutoka Finishing Master. Tunapaka rangi mabati kwa ubora wa hali ya juu na matokeo yanayodumu. 📍 Popote ulipo, tunakuja kukuhudumia. 📞 Piga simu: 0659 410 501 Finishing Master – Ubora wa Kisasa katika Ujenzi na Finishing.

Finishing master
Finishing master
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 11:37:42 GMT
61252
1265
63
136

Music

Download

Comments

alaf_mabati_agent
ALAF_MABATI_AGENT :
bati ni ALAF 🔥
2026-07-06 16:52:27
9
japharychande
JACHA ELECTRICAL :
hakuna bahati mbaya sema alinunua bati mbovu basi
2026-07-06 13:48:48
16
tedy.isdory
Tedy Isdory :
Sunder best nayo nzur
2026-07-07 16:09:11
0
agustinoj37
Agustino decoration and Dizain :
naona upo mwenyewe mzigon. 🙏
2026-07-08 07:00:06
3
user6903639410787
who666669 :
mabati yakizamani yenye kutu unapaka rangi?
2026-07-08 11:00:31
0
mestonebricks
MES UREMBO HOUSE FINISHING :
hizo hazipakwi rangi mzee zinaoshwa na dawa bati inarud kuwa mpya kama ilivyo nunuliwa
2026-07-06 20:36:55
3
user8611173829955
imran :
hiyo rangi inaitwaje
2026-07-06 16:14:21
1
user91867457896764
Ahadi Mgonja :
aisee nimesha chukua no Yako nitakutafuta soon bati yangu inamiaka miwili tu lakini zimepauka balaa
2026-07-06 16:24:14
0
nyamwigeza.james
Nyamwigeza James :
nitumie mawasiliano yako mkuu na mimi ninalo janga la hilo bati
2026-07-08 13:09:52
0
mychristina6
christina😘😇 :
hata nyeupe mnapaka?
2026-07-07 16:54:08
0
hafidhifamous1
phonestore_moshi :
aseee
2026-07-08 15:47:03
0
evetha220
Evetha :
naomba namba yako fundi
2026-07-08 09:30:58
0
imora88
iddmohamed402 :
KARIBUNI KAHAMA
2026-07-08 09:29:04
0
philosopher100100
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
bati ni ARAF au KIBOKO
2026-07-06 21:36:39
1
dickalfredy
Dick :
Hoya bei gani mkuu?
2026-07-08 07:51:36
0
mapembe.emmanuel
Mapembe Emmanuel :
mikoani mnafika
2026-07-07 16:42:20
0
said08122
said :
tunahitaji no zenu
2026-07-07 14:57:08
0
athena_mabati
Athena Mabati Imara :
ugumu siyo ubora wa bati Hiko ni chuma kimezidi, wanapenda vya Bei rahisi matokeo yake wanatumia gharama zaidi mbeleni.
2026-07-06 16:56:57
1
user6886967705106
user6886967705106 :
Sawa mko vizuri...
2026-07-07 02:32:56
0
rashidi.saidi240
Rashidi Saidi :
mambo
2026-07-07 08:13:44
0
dk.kabez.mtalamu.w
DK KABEZ MTALAMU WA TIBA :
ukowapi
2026-07-07 15:38:05
0
kingdrexxy8
Danyzab :
Alafu ndo mpango mzima
2026-07-07 11:26:18
0
jorampetro
jpm :
bahati mbaya sometime kupenda kitonga ndo haya sasa
2026-07-07 09:42:38
1
johari.fashion
Johari fashion :
Kaka master
2026-07-07 11:37:05
0
hamadi.kongochi
hamadi kongochi :
kazikazi masta
2026-07-06 11:45:10
0
To see more videos from user @finishingmaster, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About