@ubeparicompany: Vijana hatuna tamaa maboss ndo wabinafsi. #fypp #fyp #fyppp

Ubepari_pc
Ubepari_pc
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 11:39:33 GMT
28854
1570
54
77

Music

Download

Comments

mahwela6
Mahwela :
vijana wengi hawana uaminifu mkuu.
2026-07-06 11:54:37
14
wakakonko1
wakakonko1 :
maboss jau
2026-07-07 10:21:57
2
mussa.kenn.ngally
Mussa Kenn Ngallya :
very touching message hii
2026-07-07 10:49:30
1
wilsonnzowa
nakuye Ngombaa :
hii iendee viral tafadhali.
2026-07-07 09:21:14
2
satrishi
I'm :
ase maboss jau sanaaaa 😁
2026-07-07 07:37:53
2
dexterm0rgan3
Dexter :
unataka boss akupe faida yake yote familia
2026-07-06 14:07:21
4
steve.parker16
steve.parker16 :
Maboss wachoyo roho mbaya
2026-07-07 04:58:41
2
sammagari2554
sammagari255 :
incentives📌
2026-07-06 16:11:56
2
chombeza23
chombeza :
sahihi sana kauliza
2026-07-07 04:38:58
2
dazfetty13
DazfettyCreationsEmpire :
point
2026-07-06 17:06:50
1
zaina.nassoro4
Zaina Nassoro :
🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏 point
2026-07-06 18:48:38
1
chotara.la.kisamb
chotara la kisambaa :
fact
2026-07-06 13:02:22
2
prof_kisiki23
Prof Kisiki :
hilo swali ni mtambuka
2026-07-06 18:29:47
2
brianbenard
Brian Benard :
hili ni jambo muhimu sana kufanyia kazi
2026-07-06 16:08:45
3
lazaro.john25
Lazaro john :
Aliyeuliza sawali kauliza kiutu uzima sana
2026-07-07 05:03:15
1
mtui284
Riziki Mtui :
Alichosema ni kweli
2026-07-06 12:41:13
3
hamiomtamike
Hamio Mtamike :
thats very true bro...
2026-07-06 18:33:58
1
mosesdm3
Engineer by Nature :
Jamaa yupo sahihi sana
2026-07-06 16:51:41
1
jamal.junior294
Jamal Junior :
mim naongea hvyo na ushahaidi ninao kaka
2026-07-06 16:58:08
1
sadikfarhansadik
sadikfarhansadik :
Hii imenigusa kuna walimu wa private school wanlipwa lak2 kima cha juu ni laki 3 hamna posho for teaching extra time hamn nauli ,kipindi cha mtihani kila mwanfunzi anachangia elf kum zote zinaend kwa boss mwlmu antunga mtihni anakesha anasahihish anpang matokeo hata mia5 ya soda haiyoni,kila mwaka walimu wanakimbia boss anatafuta walimu wapya shule inabaki jina inakosa maendeleo kwsababu hamna motivation kwa walimu so hii ipk kila upande ni kweli kabisa
2026-07-07 10:33:20
0
steerkamaley
steer kamaaley :
huo ni ukweli kabisa
2026-07-06 15:57:50
2
qaaassimu
Bin Seleman🇹🇿 :
Hazungumzii salary bali gawio hii Ina encourage zaidi ufanyaji kazi
2026-07-06 23:20:52
4
director_kye
Director :
libinafsi lingine hili hapa
2026-07-06 13:03:02
7
youngjuxi
young jux :
hiy principle umeitolea wap kwan ww ni investor au employee tuache kujip matarajio kweny compuny za maboss ukion maslah madog tembea
2026-07-06 20:08:53
3
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About