dunia ni kitu ndogo sana my mom pia alienda hosi she never returned akiwa hai 🥺😳imenikumbusha mbali
Allah rahma❤️
2026-07-24 08:25:19
121
🌺🌹Mummy's sapphire 💎🐇🪷 :
jaman mama anadeka,Mungu amponye sijui ila nmempenda
2026-07-25 15:27:23
15
Gladys Zawadi :
Pole Sana nimeona video Sasa hivi kwamba amekuacha mulikuwa mzishini
2026-07-25 17:05:16
6
cookie❤✨ :
innalillah wainnailayhi rajiun, pole khadija
2026-07-24 16:27:10
32
Lulu❤️ :
Akuna mtu duniani kama Wazazi🥹🤲Ukitaka barka kwenye maisha yako tunza wazazi wako walah usiwaongeleshe vbyaa 🥺Kisa pesa unazo umesahau mahali wazazi walikutoa hadi ulipofika sasa😁
2026-07-24 23:49:47
15
Glam_by_thureyyah_boutique :
Mungu ampe shifaa inshallah 🙏❤️
2026-07-06 16:00:52
8
Mombasa spicy 🔥 :
nakupenda mpenzi wasema ukweli 🤣
2026-07-06 14:19:19
8
mom's N 005 :
Allah ampe shifaa ya haraka 🤲, Mimi natamani lkn hayupo Allah amrahamu amueke pema peponi Ameen 🤲
2026-07-06 13:45:21
25
Mama Ms :
😂😂😂😂sawa tumeskia
2026-07-06 15:45:18
3
Viumbe wa zito :
Nani kama Mama Jamani 😞Inna lilah waina ileyhi rajiuun
2026-07-24 10:45:14
6
Dakay :
Allah akuekee mama ❤️❤️❤️
2026-07-07 18:13:54
3
khamis omarbadru :
walaih Allah bless you 💞💞💞
2026-07-06 16:46:24
1
urfav.khadijah_ :
May Allah grant her Jannah It’s so sad to lose a mother Ameen😭🤲🏼
2026-07-24 10:45:19
5
bibichocolateladyrhamsin :
ALLAH ampe shifaa ya haraka 🤲
2026-07-06 21:13:59
1
Ema :
jannah yetu mama zetu🥰🥰🥰 ALLAH ampe Shifaa na afya njema, Ameen. 🥰🥰🥰
2026-07-06 18:59:55
5
BrinaxTanzania :
boss mashallah
2026-07-09 22:16:55
1
Fatush saloon💅 :
Shifa yaharaka mama yetu apoe
2026-07-06 17:32:43
1
dida :
mwafanana masha allh
2026-07-06 21:09:16
1
KING KHAAN 👑👑 :
Mashallah mungu atuhifadhie wazazi wetu 🥰
2026-07-07 09:45:37
1
hajj :
2026-07-06 21:29:25
1
Mercedes :
napenda hio smile mashallah
2026-07-06 17:01:49
4
fatuma issan :
ongeza volume kipenzi
2026-07-06 16:40:15
2
Memsap Salim :
Ila dida eti oyaa😂😂
2026-07-06 14:56:31
2
To see more videos from user @didashebbs_kitchen, please go to the Tikwm
homepage.