@msomi_magari: Unahitaji huduma bora za magari? Tuko hapa kwa ajili yako! 🚗 Tunatoa huduma zifuatazo: ✅ Kuuza gari lako haraka ✅ Kuagiza gari kutoka nje ya nchi ✅ Kununua gari hapa hapa nchini ✅ Mikopo ya magari ✅ Exchange / Top-up ✅ Kubadili umiliki ✅ Clearing & forwarding – kutoa gari bandarini ✅ Na huduma nyingine zote zinazohusu magari 📞 Piga au WhatsApp: 0744 122 864 0682 051 285 Huduma bora • Haraka • Bei nafuu • Uaminifu wa hali ya juu #drivers #drivinglessons #drivingtraining #drivingtips #fypシ゚

Msomi Motors Tanzania
Msomi Motors Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 13:22:38 GMT
35277
2014
97
53

Music

Download

Comments

tripple_m35
tripple_m35 :
Kinachomfanya mtu asijue gari haraka ni hofu tuu
2026-07-21 11:57:17
4
stephennyunza
Stephen nyunza :
Gari haiwashwi au??? unakuta ipo neutral😆😆
2026-08-05 20:48:41
1
matogo7610
Matogo :
nakupata bro sema Nina reseni bad sijapata chuma bado
2026-11-12 14:34:17
1
musafagmail.com
2026-10-18 19:16:10
1
2ppatz
2ppaTz :
Ukijua Auto Kujua Manual Sio Kazi ngumu.
2026-07-14 16:53:52
3
jajampole
Jaja Mpole :
anaelewa mm
2026-07-19 09:00:33
1
amon.samsn
Amon Samsn :
hatua ya kwanza ni kuseti kiti alfu ndo unafunga mkanda
2026-07-22 04:42:03
2
user1200744266553
colour_wizzard@@ :
sana nakubali naomba tuendele na gari la manyo
2026-08-29 08:03:55
1
gelege71
gelege :
mbona huwa mnasema gia namba 1 ni yakupanda mlima jaman me mnanichanganya
2026-08-26 11:17:31
1
user2996839997341
Edy :
gar aina gan bro iyo
2026-08-25 07:58:24
1
ommy_dimpozi
Ommy Dimpoz71@gmail :
nimekuelewa kaka
2026-08-04 19:19:32
1
izoonambaa770
MIDO FIGHTER :
gia namba moja kaka haipandishwi kwenda juu au hiyo tofauti
2026-08-19 12:26:48
1
____45_____26____
♡__45__♡ :
Shulman kak😁😁
2026-07-06 14:23:48
1
theruler345
Ⓦⓘⓢⓔⓜⓐⓝ :
Good lesson
2026-07-06 13:45:38
1
uimazingara2
Dani546228 :
😅😅hujaeleza ni kwann utake kubadili gear?
2026-07-06 16:16:26
1
user3460569365187
ahlam🦋 :
asante
2026-08-25 08:11:31
1
titosanga255
Tito22 :
Asante ila umeruka hatua ya kurekebisha seat
2026-07-07 06:27:11
1
alex.subzero
subzero :
bahati nzuri me najua
2026-07-16 19:40:23
1
sebastian.mwesohe8
Sebastian Mwesohe :
Daaaa! nimekubali mwamba,umenikumbusha veta tabora walati najifunza 🚗
2026-08-08 19:46:56
1
user696372868716
Donge star ⭐⭐ :
nkbl familia
2026-08-20 12:10:36
1
user446068062724
kulwa senema :
mkuu kazi
2026-09-28 06:34:09
1
user9013581763976
byabato Christian :
umesahau utawekaje bila kuangalia upepo. niatua yangapi?
2026-09-12 07:16:30
1
user2696587027043
maris :
upo wap kaka
2026-10-26 22:22:45
0
foxxxxx461
young fox :
uuuuuwa kika kkaaaaa
2026-08-23 12:54:24
1
moshi.mambo
MOSHI MAMBO :
sija ona gari liki washwa bro kama hatua ya tatu ya nne ndio inge kuwa ku kanyaga clutch kwa uingizaji gear
2026-07-21 08:16:09
1
To see more videos from user @msomi_magari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About