@islamicswahilinet: UZINIFU UNALETA UFUKARA As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 15:20:13 GMT
20770
2248
23
199

Music

Download

Comments

shamouhtalent
Shamouh_Talent :
Allah a2pe mwisho mwema InshaAllah 🙏🙏
2026-07-07 05:29:43
6
domayo83
Abubaccar :
mungu 2samehe zinaa mbya sanaaa
2026-07-06 21:44:07
4
rddecocraft_finishing
Rddecocraft :
100%
2026-07-06 17:05:38
3
rukyaa
rukeiyyah :
subhanallah
2026-07-08 18:33:04
2
jumakapilima
Jimmy :
facts 💯
2026-07-09 09:04:57
0
rerschoe6
Rerschoe :
Sunland llah. Mungu nieke mbali sana na zinaa na unikurubishe na ibada kila uchao
2026-08-10 13:01:14
0
zahrakatiko
ZAHRA KATIKO :
SubhanaAllah SubhanaAllah SubhanaAllah Allahumma ghifirli warhamni
2026-07-07 13:03:19
1
ahmedhirab
Towfiq pharmacy :
subhanaAllah
2026-07-11 16:24:07
0
jumakapilima
Jimmy :
facts
2026-07-09 09:04:47
0
timeone55
on my way :
inshallah shekh wangu ayo ni kweli mim pind ninapo fany zinaa huwa napotez kila kitu
2026-07-06 17:22:05
2
elpaciente26
SALUM :
Mungu atuhifadhi Na zinaa
2026-08-10 21:45:58
0
mapenziclassicwear
MAPENZICLASSICWEAR :
Ya Allah tuepusha waja wako na Zina 🥺
2026-07-11 18:47:47
0
omoresh4
omoresh :
💯
2026-07-07 05:29:18
2
soulmates.irfaan
Soulmates Irfaan :
❤️❤️❤️
2026-07-06 15:29:41
2
omary.ndevu2
Omary ndevu :
😭
2026-07-08 14:35:37
0
luda..b
luda..b :
😭😭😭😭
2026-08-17 11:28:33
0
saidiballoon4
Saidi balloon artist Diani :
❤️❤️❤️
2026-08-09 13:01:49
0
s2kizzy78
S2KIZZY ZOMBIE 🧟‍♂️ :
❤️❤️❤️
2026-07-31 06:10:40
0
itsndemla
It's ndemla ⚽ :
🙏🙏🙏
2026-07-08 14:48:00
0
luda..b
luda..b :
😁😁😁
2026-08-17 11:28:26
0
khamissalum2
user2646992634555 :
Allah akbar Tuombe Allah atujaliye mwisho mwema na wenyewe kuridhiwa na Allah
2026-08-03 23:06:28
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About