@osteolife_tz: Seli za miili yetu kila siku zinashambuliwa na sumu mbalimbali kutokana na vyakula tunavyokula na hewa tunayovuta. Usipozilinda, unajiweka kwenye hatari ya kupata changamoto kubwa za kiafya, ikiwemo kansa. Afya yako ndio kila kitu, na kinga siku zote ni bora kuliko tiba. Kwenye hii video, mtaalamu anafunguka ukweli kuhusu nguvu kubwa ya... Vyakula vya asili na baadhi ya mimea katika kulinda seli za mwili wako zisiharibiwe na sumu zinazosababisha kansa na uvimbe! Tazama clip hii mwanzo hadi mwisho ili ujifunze hatua kwa hatua namna ya kulinda afya yako na ya familia yako kabla ya matatizo hayajajitokeza. KWA MSAADA ZAIDI NA USHAURI: Wasiliana nasi sasa kupitia: +255 757 432 186 #herbs #Lifestyle #usatiktok #germanytiktok #usa
Green tea ni mchai chai na nini tuambie,green hiyo ni ipii??
2026-07-07 10:39:36
20
blessed01 :
matcha tea
2026-07-09 07:45:36
0
user8357524822394 :
manjano ni nin jmn?
2026-07-06 20:32:33
1
salma :
2026-07-07 02:44:22
10
Oliva Lauriani :
Dawa yamichiriz jmn naomba
2026-07-06 19:38:48
14
hildamghamba245 ♒️ :
green tea ndo ile mchai chai
2026-07-06 20:02:20
3
dottoballow :
jamaani grithini mm sijui
2026-07-07 04:27:59
2
leonila :
green tee ndio nin
2026-07-08 07:26:55
4
mama zabibu :
jamani grinti ninny?
2026-07-07 02:22:50
2
eusebiaurassa236 :
mimi koo linakauka na kunakitu kama kipo kwenye koo nikimeza mate nakisikia kama kinashuka alafu kinarud tena kwenye koo,nisaidieni jmn nateseka yapata miez 2 sasa
2026-07-16 16:14:33
0
thee_momo7395 :
Manjano ni nzuri mno naipenda sana
2026-07-08 05:36:32
2
Denisi44 :
dawa ya kupaka ndevu zisiote
2026-07-15 08:38:20
0
so funny 😜 :
nimetumia green tea week moja nashindwa vipi mwili unapungua kumbe ndio hiyo 😆Hadi sasa Sina appetite 😩
2026-07-07 11:02:24
1
Iliham :
Dawa ya figo jmn
2026-07-20 08:39:41
0
Levina Kimaro :
Kaka mwanangu amechelewa kuongea msaada
2026-07-08 11:12:05
0
Salma kiselekela :
hiyo inapatikana wap au maduka yoyote yale
2026-07-16 15:36:30
0
pretty girl 🥰😘 :
hio green tea cjaijuwa ipo je
2026-07-08 15:54:20
2
linda bajuta73 :
dawa michizi ni nn jmn 😁
2026-07-15 18:07:50
0
Salome John :
Ipi hyo
2026-07-08 01:55:59
3
justine safari :
green tea ndo ile mchai chai
2026-07-07 18:00:34
2
Hawa :
Green tee ni ni
2026-07-08 09:16:08
4
Ramadhan Kondo :
Green tea ni nini?
2026-07-09 12:27:29
2
user1814543483725 :
ukiwa mjamzito unaweza kunywa green tea
2026-07-07 04:48:45
2
Steve Shirima :
Green tea ni chungu jamn
2026-07-08 00:13:15
4
To see more videos from user @osteolife_tz, please go to the Tikwm
homepage.