Madam hivi BARAKA kutoka kwa Mzazi wa kiume (baba), vp kwa sisi tuliolelewa kwenye familia za single mother's jmn, nisaidieni...au ndo Mimi TU sielewi 🥹🙏
2026-07-06 17:04:08
1
ney💝 :
Ameen ameen
2026-07-06 17:16:04
0
Eva Bedon :
Watundu mara nyingi Mungu huwa anawakamata wanakuwa watumishi wa Mungu
2026-07-06 17:52:14
1
Ollie Mcreggy :
Ndio huyo mimi jamani..😭😭 kwenye ukoo zote mbili wa baba na mama mimi ndio nimesoma sana na kupiga hatua kubwa za maendeleo… Huyu Yesu jaman 🙏🙏🙏😭
2026-07-06 21:22:27
1
nam :
Unamaanisha nini unavosema BARAKA ZINATOKA KWA BABA, I humbly need kuelewa. ( me too nilikua Kama ww) utukutu ulizidi but guess what now Mimi ndo ukoo unaomba ushauri🥹 SEE GOD🙌🙌
2026-07-06 18:32:27
0
Tanzanite classic barbershop :
❤️
2026-07-06 19:39:05
0
To see more videos from user @beatrizawarenessministry, please go to the Tikwm
homepage.