@dr_dorothy_gwajima: ♥️🤩Na Joan wetu jana tiktok live na @gwajimad tukielimishana kuhusu utaratibu wa kuifikia mikopo ya riba nafuu kwa wajasiriamali wa makundi mbalimbali.... Hebu tega sikio umpe hi Joan wetu wa ilala jamani👋🇹🇿 @gwajimad_gallery

GwajimaD
GwajimaD
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 16:13:23 GMT
357607
15409
503
943

Music

Download

Comments

mamasdaughter03
Makundi😍 :
Mama ur so humble tunakupenda😍😍❤️❤️
2026-07-06 16:16:56
152
msurimsuri385
msuri one :
mama nisaidie mume wangu ananipanda kichwan sana
2026-07-07 07:29:57
63
sumar11221
user8628441231991 :
naomba mama unisaidie nyumba mbili zinauzwa kwajili jili ya milioni moja tu na mama yangu Alisha lipa milioni tatu lakini bado Wana mdai na mpaka sasa wanataka kutuuzia nyumba yetu mbili na mama yangu akiwa anaumwa kesi ilisikilizwa upande moja na ukumu ikatoka na sasa ivi wako kwenye utekelezaji
2026-09-19 16:01:45
11
user2355374860854
ya khalbi :
Huyu mama acheni tu,, ni mzuri natural uso na moyo wake,, ana akili sana yenye maono left hand,, blessed mama
2026-07-07 06:31:12
67
maitata224
maitaita224 :
mama nimetuma nauli 50000 tanga hadi darsalaam mwez wa 2 mwanao hapokei cm
2026-07-08 11:09:40
11
babyshopbonyokwa
baby shop bonyokwa :
asante mama mimi nimefanyaa process mwezi wa4 nikapewa milion2 chaaaap. hapa nipo natafuta rejesho la 3 mungu akutunze aise
2026-07-07 11:10:59
30
wambegu_01
WambeguDTC :
upcoming president keep it up mama lakin hawa wa huku ngazi ya mtaa hawasaidii watu mpaka wapewe pesa pia hiyo mikopo vinatengenezwa vikundi hewa na hizo pesa wanakopeshana wenyewe kwa wenyewe
2026-09-19 16:33:21
6
hassanjuma9241
Hassan jr :
kunywa wine 🍷🍾 nitakuja kulipa mheshimiwa Gwajima 🫡🫡
2026-09-19 14:53:31
8
sophy.kaggy
super woman :
asante mama namimi nimeelewa vizuri
2026-07-06 18:43:56
11
user2029596537139
Elius chacha mgita :
safi sana mama jamuhuri ya mungano wa tanzania kazi iendelee
2026-09-19 14:41:59
7
user3751421825614
mary wallet💴💰 :
Mama mashoga vp?🫠🫠🫠
2026-07-06 18:20:33
9
mkinga1.officially
mkinga1 official :
mama mitano Tena❤❤❤
2026-07-06 19:39:17
13
user4145416995246
Dr.stephano 💯♥️ :
TikTok live anaejua kuunganisha anisaidie na mmi niwe namuona mama yetu katika vipindi vyake ♥️♥️♥️
2026-07-07 06:42:38
6
msambaa.og4
MSAMBAA OG :
Hogera sana Mama. hii elimu ilitakiwa itolewe na maafisa maendeleo ya jamii. lakini hadi Mh Waziri anawasidia majukumu yao.
2026-07-07 04:29:19
13
justinemichael676
Justine Michael :
hongera sana mama hakika unachapa kazi haswa , Mungu azidi kukupa afya na nguvu taifa linakutegemea .🙏
2026-07-08 07:15:41
5
rosemary.marwa84
Rosemary Marwa :
Asante mama kwa kutujuza bnafsi umenisaidia namimi kupitia joan
2026-07-07 14:40:15
5
mckagoma
MC Kagoma✅ :
We mama mungu akutunze sana Sina neno sahihi la kusema juu ya unalolifanya mimi NAKUPENDA SANA na napenda unachofanya
2026-07-07 07:34:37
5
___mimah1
___mimah1 :
Unadeka mwenyewe
2026-07-07 07:08:06
6
user63952875171801
my name :
ngozi imeglow, hongera sana🥰
2026-07-07 02:34:48
5
ahwheuehdhjeu
❣️💞💞 :
kwa nn asiwe raisii 🥰🥰 unastahilii kabisa
2026-07-07 04:52:53
10
isabela.johnson00
Isabela Johnson :
shikamoo mama naomba utaratbu mim nipo chanika.
2026-07-07 05:44:00
6
evaline7075
Evaline :
sisi ni watoto wake kabisa ila watoto wake aliewazaa wana raha sana Mungu wangu Nakupenda sana Mama wangu kipenzi God bless you 🥰🥰🥰
2026-07-06 19:08:56
17
kim.daa1
Kim daa :
nampenda sana huyu mama jmn mungu akutunze
2026-07-06 17:55:30
6
user8399676174686
Kips :
My lefthand mate! We love you Mama. Keep it up!
2026-07-06 17:49:20
6
user149510555577
Nanguka :
Binafsi ninakupenda na Ninakuombea mama Mungu akutunze
2026-07-06 20:18:22
5
To see more videos from user @dr_dorothy_gwajima, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About