@sheikhnurdeenkishk: "…Na semeni na watu kwa wema, simamisheni Swala, na toeni Zaka…" (Sehemu ya Surat Al-Baqarah 2:83) Aya hii inatukumbusha umuhimu wa: Kuzungumza kwa upole na heshima kwa watu wote. Kutimiza ibada kama Swala. Kutoa Zaka na kutekeleza haki za wengine. Ni mafunzo yanayosisitiza kuwa tabia njema na maneno mazuri ni sehemu muhimu ya ibada na maadili ya Muislamu. ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako
Waaleykmsalamu
Allah akulinde sheikh wangu wewe ni sheikh wangu peke yangu maana ndio naujua moyo wangu unavyo kupenda kwa ajili ya Allah
Allah akuoandishe darja zaidi na zaidi
2026-07-07 12:25:19
2
sharifamaundi :
mashaallah
2026-07-07 13:54:02
1
bushala :
shukrani mwalimu wangu allah akupe maisha marefu
2026-07-08 03:50:42
1
Rashidi Shekivunge :
🤲
2026-07-08 20:37:27
1
Haji Haji :
Waalaikum salamu warahmatullah wabarakatuh
2026-07-07 21:09:17
1
sharifa one :
waalaikum salam warahmatulah wabarakatu
2026-07-16 16:55:21
1
Abdullah shabura :
😭😭😭
2026-07-06 16:37:56
1
FICK JAY :
Allahu akbar. Follow me
2026-07-07 15:54:09
1
zamzamlv😍😍😍 :
mwenyezimungu akuifadhi
2026-07-07 14:44:22
1
Brighton mngori :
Allah atakulin inn sha Allah
2026-07-07 14:31:39
1
Masika Bilal :
Waallaykum Salam
2026-07-07 13:02:45
1
Moha@biithilillahi :
shek wetu Assalamualaikum
2026-07-07 03:41:16
1
fahadhariri393 :
Jazzaqallahulkheyr
2026-07-06 16:49:15
1
anasta shabani :
alham dullillah asante imam wetu
2026-07-06 16:57:05
1
amina laudin :
shukran Allah atuzdishie sote
2026-07-06 20:05:40
1
Mariam :
waleykum salaam walamma tullah wabarakatu shekh wetu kipenzi cha Allah
2026-07-07 12:05:21
1
shabani_hiza :
mwamba wa miambani sheikh nurdn kishk allah akuhifadhi
2026-07-07 05:24:19
1
💕ukhty💫amina♻️ :
💕💕💕💕💕
2026-07-07 05:37:58
1
ABDULU :
amin
2026-07-07 05:44:39
1
UISLAM NI NASAHA :
2026-07-07 06:08:10
1
Tshatho the game :
🥰🥰🥰
2026-07-07 06:41:15
1
hawa :
Amiin
2026-07-07 11:03:28
1
To see more videos from user @sheikhnurdeenkishk, please go to the Tikwm
homepage.