@mr.detox01: •Hepatitis B inaweza kusababisha maambukizi ya muda mrefu (chronic hepatitis), ambayo huongeza hatari ya saratani ya ini. •Hepatitis C pia inaweza kusababisha uharibifu wa ini kwa muda mrefu na kuongeza hatari ya saratani ya ini. Maambukizi ya muda mrefu yanaweza kusababisha: 1. Kuvimba kwa ini kwa muda mrefu. 2. Makovu kwenye ini (cirrhosis). 3. Kuongezeka kwa hatari ya kupata Liver cancer. Hata hivyo, si kila mtu mwenye hepatitis atapata saratani ya ini. Hatari hupungua ikiwa: >Hepatitis inagunduliwa mapema na kutibiwa ipasavyo. >Kwa hepatitis B, chanjo inaweza kuzuia maambukizi. >Watu wenye hepatitis sugu uhitaji ufuatiliaji wa mala kwa mala Tambua ya kwamba maisha yanatakiwa kuendelea ata baada ya changamoto Unaweza kutibu unaweza kupona #mrdetoxafrica #unitedstates #mrdetox #hepatitis #liver