@healthyfity1: 🚨 NANI MWINGINE ANAPITIA HALI KAMA HII...? •••••••••••••••••••••••••••••••• Kiungulia... Koo kuwaka au kuuma... Tindikali au chakula kupanda kooni... Kikohozi kisichoisha... Koo kuhisi kuna kitu kimekwama... Sauti kubadilika au kukauka... Harufu mbaya mdomoni... Ladha ya uchachu au uchungu mdomoni... Kichefuchefu... Gesi nyingi na tumbo kujaa... Kushiba haraka... Kifua kubana au kuwaka... Pumzi kubana kwa baadhi ya watu... Moyo kwenda kasi au kudunda kwa nguvu kwa baadhi ya watu... Maumivu ya mgongo, mabega au baadhi ya viungo kwa baadhi ya watu... Kufunga choo au choo kutokuwa cha kawaida... 👉 Hizi zinaweza kuwa dalili za Acid Reflux. •••••••••••••••••••••••••••••••• UNATAKA KUREKEBISHA MFUMO WAKO WA TUMBO NA KOO? Basi ni lazima kurejesha afya ya mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula yaani kwa: 1️⃣ Kuweka sawa msawazo wa acid tumboni. 2️⃣ Kurekebisha valve inayotenganisha tumbo na koo. 3️⃣ Kutibu michubuko na vidonda tumboni na kooni. 4️⃣ Kusafisha mfumo mzima kutoka kooni hadi njia za choo. 5️⃣ Kuongeza msawazo wa bacteria wazuri tumboni. •••••••••••••••••••••••••••••••• JE, UKO TAYARI KUREKEBISHA MFUMO WAKO MZIMA WA CHAKULA? Piga simu au WhatsApp: +255.696.256.671 #acidreflux #digestivehealthclinic #sorethroat

HEALTHY FITCLINIC  DR Geaz
HEALTHY FITCLINIC DR Geaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 16:48:13 GMT
3969
75
7
14

Music

Download

Comments

user55229505852747
maya :
mm nisaidie ninshida hiyo karibia mwez 1 sasa
2026-08-05 08:56:01
0
mwanahamisifondo
moner de star💥☝ :
mimi aki
2026-07-30 07:05:51
0
neema482
user4616076600257 :
mimi nisaidiye
2026-07-17 07:46:32
0
rachel.fungiza
Rachel Fungiza :
tuko wengi kbs atuna raha
2026-08-01 06:41:53
0
f399106
Mom girls :
dawa ni za asil tu
2026-07-16 11:30:09
0
bbyruks00
@bbyruks0 :
mm
2026-07-07 07:46:13
0
rider_wa_kanairo2
rider_wa_kanairo 😍😍 :
Watu Twateseka Jamaa Tupeni Dawa😪
2026-07-08 11:50:25
0
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About