@worldsports14_: Unashangaa ๐๐ผ๐ป๐ฎ๐น๐ฑ ๐ง๐ฟ๐๐บ๐ฝ kuingilia kati FIFA na kadi nyekundu ya Balogun kufutwa, unajua alichofanya ๐๐ฒ๐ป๐ถ๐๐ผ ๐ ๐๐๐๐ผ๐น๐ถ๐ป ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐ผ๐บ๐ฏ๐ฒ ๐น๐ฎ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ ๐ญ๐ต๐ฏ๐ฐ? Mbona Trump ni mwanafunzi ๐ Powered by @dstvtanzania #FIFAWorldCup2026 #Balogun #football #USA #Belgium
Worldsports14
Region: TZ
Monday 06 July 2026 16:50:56 GMT
Music
Download
Comments
meyloce_lyrics๐ :
ongea haraka haraka tuna video nyingi sana za kuangalia
2026-07-06 23:51:08
81
Chui๐ฏmsafi :
unacheka cheka mmo
2026-07-06 23:37:34
12
Abdul Shabani :
speed 1.5
2026-07-07 23:50:40
0
Alex Juma :
Story nyingi broo ongea haraka
2026-07-06 23:35:44
28
James 26 :
me 1934 nilikuwepo mbona ๐๐
2026-07-07 20:03:04
2
PABLO :
Kwaiyo umeenda ku google, unatuletea apa
2026-07-07 06:41:53
1
pareprincess44 :
kwamba unaona ni sawa?
2026-07-06 18:25:39
5
SWAI JR :
acha. kuchamba umbea elezey stori
2026-07-07 16:24:52
0
Official rick98 :
Naww sasa kueleza hujui broo jalibu kueleza kuludia ludia maneno mzee mbn atukuelewi
2026-07-07 20:31:31
2
Gamba tours & Safari Zanzibar :
unaongea lkn story nying kak
2026-07-07 14:43:50
0
frankmasela :
ebu niskilize bro mi m2 wa zaman..
2026-07-07 05:16:33
3
erick shayo :
tim 16
alfu wana anzia 32 bora
2026-07-07 04:49:12
3
NGUSH mashine :
unajichekesha sana๐๐
2026-07-06 23:07:58
3
vency :
Uwe unaongea point haraka. Unaongea mengi hayana maana
2026-07-07 01:44:36
3
The only gift man :
hiyo history umeshindwa kuisimulia
2026-07-07 01:55:23
1
Nass Twin :
Unazunguka sana mzee. Ongeaga chap
2026-07-07 00:26:44
1
chameleone3 :
si ulisema mechi hazikua na extra time inaruidiwa kesho yake mbona final ina ilikua na extra time๐๐
2026-07-07 00:03:37
1
onesmo geraz :
cvvv
2026-07-07 08:15:24
1
jasper :
okoa muda
2026-07-07 17:43:15
0
charlie jr :
Wazamn na nan
2026-07-07 16:08:05
0
derk :
Tatizo una mashauzi saana
2026-07-08 16:03:14
0
abdulsuleiman_matash23 :
nakubal bro...๐ฅ๐ฅ๐ฅ
2026-07-08 10:24:49
0
badruengod :
Tatz unaongea sanaa
2026-07-08 05:18:04
0
...Savages ...Mweleke :
Leo nimeona application Moja wapo ya history 2 hahaha gonga like mwalimu wako aone
2026-07-07 22:04:57
0
Ally Shauri :
sasa hiyo silikuwa zamani sana
2026-07-07 00:06:26
1
To see more videos from user @worldsports14_, please go to the Tikwm
homepage.