@kevychazy_: #Carrymastory amenyosha maelezo na kumkingia kifua @diamondplatnumz akisema kuwa Show yake ya Arusha imeshindwa kutrend sababu kulikuwa na mambo mengi mjini ya yanga na Simba. Full video ipo YouTube channel ya #ChazyMedia #fypシ゚viral #tiktokzanzibar #tiktoktiktok