Kaka mimi nakukubali sana. Ombi langu kwako ni moja tu: Usiache hii kazi njema unayoifanya. Kazi ya kuamsha watu kifikra. Inawezekana impact ya message zako hizi isionekane leo, lakini nina hakika kesho zitakuwa na impact kubwa na takatifu. Mapambano yaendelee.
2026-07-06 22:37:16
9
Vincent Zuberi :
kweri
2026-07-06 20:44:46
3
Waboma :
mashee wanazingua
2026-07-07 17:32:08
1
antonyethan :
upo sahihi
2026-07-07 12:53:00
2
futto07 :
Tanzania ni pango la misukule na ni shamba la bibi rushwa kutekwa kuuliwa hiyo usiseme tumeyazowea ukija na hoja ya mabadiriko wenimuhaini na tunashangiria kuhangamizwa kwako Polepole tushamsahau😭😢 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
2026-07-19 21:09:03
1
kim :
fact
2026-07-06 18:18:41
3
Mvamila wa mvamila :
💪💪kweli kabisa kka
2026-07-06 18:27:30
4
Kilimanjaro Tz❤️❤️❤️💰💰💰 :
umeeleweka kaka👏
2026-07-09 10:47:28
1
Kijana wa vitendo/Tanzania ♥️ :
yaani Iko hivi
kanuni ya kupata amani ni hii
Amani=Upendo+wajibu+haki
2026-07-07 07:54:22
3
Prosper John :
Mashekhe Wana njaa sana mkuu
2026-07-09 12:17:23
1
ejorajohn82 :
barikiawa sana.
2026-07-07 01:53:51
1
Valiant Printing Service's🇹🇿 :
100%🇹🇿🫡
2026-07-06 17:42:27
10
Ditto amard.esq :
2026-07-06 22:51:07
1
Bob Ngandu :
2026-07-06 20:22:46
1
user2490509726304 :
naam mwamba
2026-08-12 16:24:00
0
Paul :
Brother Unatoaga notes ambazo kikawaida mtu anaweza soma chuo kikuu Miaka hata kumi na asizipate.. Hiyo ndo maana ya kuwa intellectual.
2026-08-25 15:39:34
0
mtisha mdee :
watakua wanatumika na serikali au wanaogopa watakosa sadaka??
2026-08-24 15:16:54
0
vaps49 :
2026-07-06 20:18:16
1
To see more videos from user @edutalktz, please go to the Tikwm
homepage.