@tiba.za.babu: Mwanamke huyu alidhani ni ugonjwa wa kawaida... lakini babu alipogusa tu uvimbe wa shingo yake, kilichotoka kilifanya kila aliyekuwepo kupigwa na butwaa. Tazama hadi mwisho ujionee mwenyewe. 😳🐍#creatorsearchinsights #alixmiamiswimsuit #mystery #TikTokTanzania #FYP
Duh! babu wewe ni mtu muhimu sana unayesaidia watu kwenye jamii zetu kupitia kipawa cha uganga wa jadi uliopewa na mababu zako hakika unastahili umri mrefu ili nasisi tuweze kupata huduma zako NAKUOMBEA AFYA NJEMA MZEE WANGU
2026-07-06 18:12:24
4
FreemanBase.666 :
Huu ni uwezo wa ajabu kuwahi kutokea
2026-07-06 18:08:46
5
SIRI ZA BABU :
Good job👏👏👏
2026-07-06 17:58:56
7
MZEE KAYANDA :
hongera sana kwa kazi nzuri ya kumsaidia huyo mama
2026-07-06 18:24:44
2
To see more videos from user @tiba.za.babu, please go to the Tikwm
homepage.