mm natamani kuokoka jaman moyo unawakaga sana nikisikaga hivi
2026-07-07 18:48:53
199
victor ben :
mbona vitisho.. let live our life..
fear is not part of my life any more
2026-07-08 05:25:16
10
Judey🇹🇿🇯🇵 :
Mungu niupendo lkn siuoni upendo katika sura ya mchungaji!! watu hawapaswi kutishwa ili waje kwa Mungu maana Upendo wa Mungu unatosha kuuvuta ulimwengu mzima
2026-07-07 11:41:42
78
lukuga :
mbona mtumishi unahubili sana vitisho
2026-07-07 14:56:20
25
PeTeR :
Eee my MUNGU tuepushe na hukumu🙏
2026-07-07 17:07:16
33
chazy tz ⛎ :
ukiona mchungaj anahubiri basijua mungu yupo kwenye kampeni 🙏