@titocarlosroyog: Leo nilimuona Mama mmoja akifuta Machozi Bank baada ya kupokea Pesa,Nilidhani labda amepigiwa simu mbaya au labda kuna Mgonjwa Nyumbani,wakati yule mama anatoka nje nami nilitoka wakati huo huo nikamkuta akiwa analia,Safari hii Machozi yalikua hayafichiki tena,alikua analia wazi wazi hadi nikajikuta namuuliza kutaka kujua kinachoendelea,mama yule akasema “leo nimechukua Pesa za mafao ya Mume wangu alafu akakaa kimya kwa dakika tatu hivi Kisha akaendelea kusema,mume wangu alifanya kazi Maisha yake yote,alikua anasema akistaafu na kuchukua Mafao yake tutasafiri,tutajenga na tutafurahia Maisha lakini Mume wng alifariki miezi michache kabla ya kuchukua mafao yake; niliposkia hivyo nilihisi mwili wote ukisisimka kwasababu ghafla zile pesa alizokua amezishika mkononi hazikuonekana tena kama mafao bali zilionekana kama kumbukumbu,nilijifunza kitu kua watu wengi wanampango mzuri wa maisha tatizo ni kwamba wanadhani wana muda wa kutosha kuutekeleza,tunataka kuwapigia wazazi simu baadae,tunataka kutembelea marafiki baadae,tunataka kufurahia maisha baadae,tunataka kupumzika baadae,lakini maisha hayatupi ahadi ya baadae.

titocarlosroyog
titocarlosroyog
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 July 2026 20:14:01 GMT
184033
6299
352
136

Music

Download

Comments

anne.chizi
Anne Chizi :
that's a fact
2026-07-08 07:29:21
0
bibi.lee21
bibi lee :
it pains alot
2026-07-08 17:10:56
0
teddy.love307
teddy love🥰 :
🥹🥹ooh GOD
2026-07-08 14:00:23
1
lyfoflisah
Lisah Frank :
Well said
2026-07-07 19:38:45
0
dainesselirehema
dainesselirehema :
my good actor
2026-07-07 19:45:18
0
papy8.com8
pappy dady🔥🎖 :
daaah ,so pain✌🙏
2026-07-09 06:31:34
1
maxfansayo
Ⓜ️-J🅾️RSANY H🅱️ :
brother umenifanya nimesoma nimetulia umenifunza jambo kubwa sana kwenye maisha Thanksgiving
2026-07-07 07:40:25
85
zainabu822
Zainabu Balama :
Hakika Uhai wa Binadamu upo mikononi mwa Mungu 😭😭😭
2026-07-07 01:00:37
60
martharmotela5
MarthaMotela :
Daaah umenifanya nitafakari Mungu alikonitoa mume wangu alipoondoka dunian!hata sasa ni Ebenezer ❤️
2026-07-07 04:10:23
35
eddy123379
EDGER@123 :
iyo nyimbo niya nani kakaaa
2026-07-07 07:39:35
9
chokela6
chokela :
Kwann umenifanya nilie😭 asubuhi yote hii??Napitia changamoto nyingi mno lakini bado Mungu amenibariki uzima🙏
2026-07-07 05:04:03
25
irene.kapinga6
Irene Kapinga :
😭😭😭😭😭asante mungu hakika maisha hayana kanuni
2026-07-07 03:02:17
11
damianjohnson712
Damian Joseph.. :
nimemkukumbuka baba angu mzazi eeh Mungu mkumbuke huko aliko
2026-07-06 22:55:31
14
estercevnff
Elizabeth :
mungu atuhurumie ujane sio mzuri nimekumbuka miaka 7nyuma nilimpoteza mpenzi wangu alilala usingizi wa milele 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-07 06:04:33
15
mollel159
mollel :
mungu ampe wepesi
2026-07-09 06:36:02
1
mamake.doreen4
mamake doreen :
maisha haya jamani
2026-07-07 01:54:35
6
user2755626387452
user2755626387452 :
kunakitu cha kujifunza hapa
2026-07-09 06:19:14
1
kissa.mlungu
Kissa Mlungu :
umenigusa sana kaka
2026-07-07 06:42:15
1
mimahamisi7
mimahamisi :
imeniuma sn
2026-07-07 09:16:13
1
fatuma.lumumba
Fatuma Lumumba :
Mungu atusaidie
2026-07-07 05:10:20
1
fatumarashid76
fatumarashid76 :
nikama mimi nilijua nikija nitakutana na tito na Ally Kiba kiurahisi kumbe sio kweli. ila yote kwa yote mungu atajalia watu woote
2026-07-08 08:45:51
3
diana.tesha43
Diana Tesha :
mungu asante kwakuwa nami mpaka sasa kila siku nitakushukuru mungu wangu 🙌🙌🙌
2026-07-07 08:57:30
3
To see more videos from user @titocarlosroyog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About