@_naima59: 😂😂jmn hii Hapana 😭😭

Naima
Naima
Open In TikTok:
Region: ZA
Monday 06 July 2026 20:50:59 GMT
184858
15119
741
1241

Music

Download

Comments

zayiiii36
zayiiii :
Dad una moyo km wngu😔unatabasam but moyoni ni maumiv
2026-07-07 05:47:19
270
suuhuser4786081141707
suuh! :
na uzur huo jmn daah wanaume 🥹🥹
2026-07-07 06:22:20
263
jullybaby005
jully🦋baby🥹 :
apana jamn me siwez🥹🥹🥹
2026-07-07 19:37:40
3
user8302151719290
keishakeys... :
mzuri mwenyeweee na unachitiwa mie jeee...
2026-07-07 07:20:04
187
yunni560
Suhyla🦋🤎 :
Ningepata moyo kama wako ningeshukur sana😂🥹🙌
2026-07-07 05:43:36
115
rayahamisi
Rahiya omary :
m siwezagi kwanza kumuuliza tu angejua Kuna kitu mm hasira zangu zakaribu sana sinaga subra ningekiwasha hapo hapo
2026-07-07 04:43:43
116
asha.shimwela
Asha Shimwela :
una hekima kubwa hongera
2026-07-07 06:13:57
90
zaujia44
zaujia 4 really :
🥰🥰nimependa ulivyo na akili mwaya sio kila kitu kukurupuka
2026-07-07 04:10:40
144
user3554242155131
babe girl 🥂 :
jmn apo sas umetumia akiiii kipenz mekupenda bure🥰
2026-07-07 04:22:23
47
reezbee2
Rose :
bint unauvumilivu mm nina hasira jmn😂😂💔
2026-07-06 22:08:56
84
brendamsechu
Brenda Msechu :
Yana we mzuri afu huna hasira 😂😂😂 mimi sas hasira kama dragon ningetema moto uwiiiii
2026-07-07 19:13:31
7
omar.suleiman98
Omar suleiman :
una kidevu kizuri wewe 🥰
2026-07-07 11:39:36
9
user47725054559406
user47725054559406 :
Wallah we dada mrembo Mashallah 🤩
2026-07-07 09:23:27
2
salimalubian
salima lubian :
mrembo mashallah
2026-07-07 22:25:25
0
skyjohn70
skyjohn244 :
😂😂😂😂😂😂😂 mambo ya world 🌎 cup
2026-07-07 20:45:52
0
saidrehema745
Being__Reymah🌹💃♥️ :
ila umejua kujicontrol wallah mm nisingewezaa 😂🙌
2026-07-07 06:06:30
41
user81950233883138
am nickie :
ehe.. ni asubuh sasa nini kimehappen 😂😂😂
2026-07-07 05:55:09
70
kubraah02
kubraaaaah02 :
Ila naima una moyo 😅 m siwez muuliza kw upole hivo aiseeee yaan hapo atasahau km alikua anaangalia mpira 🙌🏻
2026-07-07 07:06:00
34
b.o.o.s.f.i.g.h.t
adorbs :
jamani tunayapitia ss wanawake
2026-07-07 04:42:39
41
17purplegal
🌸 Ms Nawal 💝💞💜 :
Allah nakuomba unifanye niwe na uvumilivu kama huyu binti jmn make hz hasir nisingeeza ata kumuongeleshaa jmn uuhwwi 😌😌
2026-07-07 02:48:48
52
prencess_aleena
💐baby🍒Aleena🎀 :
mmmh dada unamoyo miningekiwasha apo apo😂
2026-07-06 21:23:30
103
To see more videos from user @_naima59, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About