unakosea sana mchome....Unachokifanya hakikujengi kisiasa but kinapunguza sana uaminifu wako kwa umma
2026-07-08 09:46:03
0
Dr sokoine :
Njaa mbaya sana
2026-07-08 01:52:31
0
abdulbach2858 :
Chama cha wahaini
2026-07-07 19:03:09
3
tinnah :
yangekuwa ya uongo ninavomfahamu heche angekuwa amejibu muda san
2026-07-08 12:08:25
0
Robson :
kwani pesa Sako
2026-07-08 12:06:40
0
Otman Lyanzile :
acha kuchafuana
2026-07-07 17:53:53
0
Khamisi Mshirazi :
kwaiyo akisema ukweli ndio kosa lake
2026-07-08 10:07:59
1
Kelvin E Msuya Leshn :
Heche yeye anademaje?
2026-07-07 19:22:09
0
Khamis Saleh :
chadema kimya hapooo dadekii zao
2026-07-07 14:10:40
12
machala :
alafu tumpe nchi
2026-07-07 15:34:20
7
user7618872753045 :
ndio kila siku sipend siasa maana njaa inawasumbua
2026-07-07 11:44:56
8
anchwi chwi :
muongo ww
2026-07-07 13:07:03
0
mbogoro jr :
muongo ww
2026-07-07 14:09:13
2
God is good all the time 🙏 :
mfanyabiashara gani?
2026-07-07 18:20:16
0
Assad :
Hawa ndio wanawasema CCM
2026-07-07 19:17:27
2
namlungu :
dawa ya ufisadi ni kujiuzulu
2026-07-07 16:26:41
4
Dr. DK :
Mbona sijasikia sauti ya kusema atuachie chama
2026-07-07 18:47:39
1
liwalo naliwe :
mapeeeema 😂🤣
2026-07-07 17:44:05
1
FUMBUKA HAND :
kwa hiyo Nireshi ni mdhamini wachadema
2026-07-07 21:05:08
0
user6594268691663 :
hawa ndio waaliiba uniform za chadema sasa wanazivaa
2026-07-08 04:49:52
0
am14578 :
Mimi nashangaa Heche,Godbless Lema ,Boni Yai,Mchungaji Msigwa,Mnyika,Golugwa na viongozi wa Chadema na wanaharakati hawakutoka kuandamana
Hivi walitaka nani aandamane
2026-07-07 20:43:22
0
user95240965918867 :
toa siasa za kizamani ww
2026-07-07 18:43:51
0
To see more videos from user @bahama_media, please go to the Tikwm
homepage.