@seifaljahury: #creatorsearchinsights Naamini katika Maridhiano ili kuondoa mkwamo wa kisiasa Zanzibar. Pongezi nyingi sana kwa viongozi hawa, kukaa na kuzungumza na kufikia makubaliano. Tunahitaji kuiona Zanzibar yenye usawa, haki, maelewano, utulivu, amani na mshikamano. Safari ya mamlaka kamili ya nchi yangu inaanza kuonekana. Tukutane tarehe 9 July, 2026 pale Ikulu ya Zanzibar kwenye tamko la pamoja. #zanzibartiktok🇹🇿 #pembapizzapoint #seifaljahury
Seif Al~jahury
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 03:43:55 GMT
Music
Download
Comments
بن البشير :
ameen
2026-07-07 13:27:16
2
Salhinai👑 :
Hongera kwa viongozi wetu kwa kuweka mbele maslahi ya nchi kwanza
2026-07-07 05:13:57
1
Mr R :
God bless our leaders
2026-07-07 15:05:48
0
ABUU MAAHIR :
tunahitaji maendeleo na uchaguzi huru na wahaki
2026-07-07 09:23:30
3
fiiddan,,, :
maashallah
2026-07-07 10:30:52
1
Chaliii boy :
tunasubr tu tujuwe imekuwaje allah ajalie makubaliano yanye kheri
2026-07-07 06:46:32
3
Bomba Ali :
Heri inshaallah
2026-07-07 09:53:12
1
ummiy photography :
mashallah mungu ibariki zanzibar 🥰🥰🥰
2026-07-07 15:34:08
1
BIN MANSOUR :
namkubali sana omo hana maneno ya uchochezi
2026-07-07 07:45:10
3
MIKIDADI :
2026-07-07 06:42:19
1
SAFFRON :
Mashallah
2026-07-07 04:06:12
2
Babliy :
Allah ajaalie khery tuwe na nia safi na thabit ya maridhiano ya kweli
2026-07-07 11:13:25
1
Raudhat :
ishallah kher
2026-07-07 11:38:04
0
fiiddan,,, :
maashallah 🥰🥰🥰🥰
2026-07-07 10:30:52
0
M U S L I H :
Ccm ni kama nyoka unaweza kumsaidia kutoka shimoni lakin baadae akajakutafuna kwa kisingizio kua ulimkanyaga mkiaa
2026-07-07 13:20:45
2
SAFFRON :
Allah amfanyie wepesi nchi yangu
2026-07-07 04:10:33
2
Hamady Masoudy :
Allah ajaalie makubaliano meme yenye nia yakuipeleka mbele Zanzibar na wananchi kwa ujumla
2026-07-07 06:44:07
1
boss mahir 112 :
😁😁😁
2026-07-07 15:16:38
0
To see more videos from user @seifaljahury, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.