@act.wazalendo.group: zanzibar mpiya mamlaka kamili

ACT WAZALENDO GROUP
ACT WAZALENDO GROUP
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 04:57:59 GMT
27809
773
43
60

Music

Download

Comments

othmanmario
Mari0.Gotix :
😅😅😅😅😅😅😅😅 Unajuwa Nacheka nini 😅😅😅😅😅😅😅😅
2026-07-07 09:50:14
3
dumbicomedy
Iraf :
kila la kheri itasaidia kuwa na umoja na utulivu zaidi katika taifa letu itasaidia hadi zamira njema za raisi wa jamuhuri ya Muungano mama samia Suluu hassan kuonekana naana raisi samia ana nia njema sana katika taifa letu ila kwa sababu tume gubikwa na muhemko zamira yake njema huwa hatutaku kuizingatia act oyeeeee? taifa kwanza leo na kesho uu msemo act muna utekeleza kwa vitendo hongreni sana 🥰🥰🥰
2026-07-07 14:33:12
1
hijaby111
Hijaby🌸 :
ILA SIASA🙌🏻
2026-07-07 13:36:15
2
act.wazalendo.group
ACT WAZALENDO GROUP :
mambo moto moto
2026-07-07 05:00:16
1
user34314794782995
user34314794782995 :
ccm hii mnatusongeza tu hapo 2030 ccm inaakili ya 2035
2026-07-07 17:02:55
0
rashidsuleiman69
Mr R :
Safi
2026-07-07 14:48:10
1
user29435442116548
+-----------+=+×÷@ :
inshallah kher
2026-07-07 16:22:48
0
hassan.gago
Hassan gago :
Hahahaha
2026-07-07 08:51:54
0
077mk5
Ibrahim :
utapelii
2026-07-07 06:58:06
0
feimas.moally
Feimas moally :
ishaullha kheri
2026-07-07 05:32:46
0
salim.hamad581
Salim Hamad :
ya gujuuu
2026-07-07 11:39:40
0
swalhey.mudy
Swalhey Mudy :
omo alizani atapembejewa au hhhhhhh
2026-07-07 10:08:19
0
user3551060661824
user3551060661824 :
yule mzee alisema nimemsahau jina lake mashudu
2026-07-07 07:39:05
0
077mk5
Ibrahim :
2030 mutaridhiana tenaa nipo palee
2026-07-07 06:59:57
3
hajury_98
hahdhdhyeydd :
ccm hiihii au kuna ccm nyengine
2026-07-07 06:17:02
3
mullersbmullersb
mullersbmullersb :
fursa za kazi kwa wazanzibar kwann mpaka uambatanishe na kadi ya CCM ili swala lishughulikiwe halipo sawa
2026-07-07 11:42:00
1
idharas6
idharas :
mitano ten
2026-07-07 11:08:35
0
omarhamad2736
Omar Hamad :
mkweli Muaminifu Zanzibar Kwanza vyama baadae sawa
2026-07-08 11:39:44
0
alyah.aby
Alyah Aby :
mm siamin hadi yafanyike kweli wallah nnaham mm
2026-07-07 14:04:41
0
omar_muhsin2
Mr Mtu Kwetu :
katika cinema hii nani atakua zuzu hapo?
2026-07-07 18:23:32
0
mazrui461
mazrui :
Haya yatokee bara sasa
2026-07-07 19:19:56
0
yussuf.hogi
YUSSUF HOGI :
Maneno haya SI mageni mjini labda kwa mgeni wa Jiji. 😁
2026-07-07 20:25:05
0
rumhy29
rumhy 29 :
jamhuli ya muungano
2026-07-08 14:28:06
0
user8816688698718
user8816688698718 :
👍👍👍👍👍
2026-07-07 13:46:59
0
badru.juma45
king 👑 badru :
💜💜💜
2026-07-07 18:38:21
0
To see more videos from user @act.wazalendo.group, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About