ringi ya baiskeli haiwezi kuhimili uzito wote huo lazima ingepinda au baiskeli ingenyanyuka mbele maana haina injini
2026-07-20 12:04:46
2
Cheedytz :
Hiyo baskel inaweza kubeba deni la taifa aiseee
2026-07-20 14:03:18
4
Jackson mwambene :
traffic wako wapi
2026-07-19 20:03:18
2
Shemkai tz :
Daah uyu jamaa ni hatar
2026-07-20 09:46:00
1
King monnadah💥💥 :
Mahusiano yang hayakushind ,, ndo nilichogundua
2026-07-19 08:46:32
3
Kelvin :
250KG 🔥🔥🔥
2026-07-15 18:48:48
3
mr kifuti one :
duu ila mwamba umetisha sana
2026-07-20 08:21:24
1
Manuel budha :
inaitwa experience
2026-07-20 16:05:38
0
@KingG_brownies :
hiyo ni phonex R440
2026-07-20 15:55:02
0
James :
familia upoi
2026-07-07 19:38:28
1
frank :
Me mifuko mitatu tu huwa Ina ni xhinda xax huyu mbn mwamba kwl 🙏🙏🤗🤗🔥🔥🔥👊
2026-07-20 13:22:51
0
HAMZA CATERPILLAR 🦺 :
Hii itakuwa shinyanga
2026-07-08 10:51:21
2
🦉.✔️ :
akiangukaaa apat injuring ana kufa kbisaa
2026-07-19 14:37:10
1
Marco 36735451842833 :
aloooh iyo hata mda mwingine pikipiki haibebi
2026-07-19 06:16:02
2
@Ashford_BM23 :
Unaona kama sifa kumbe unahalibu baiskeli itakayo kusaidia na kesho pikipiki yenyewe kupakia kg zaid ya 200 unaibaka we unapakia kg250 kwene baiskeli sawa mwanetu