@mwalimuprojectsfarm:

MWALIM KUKU FARM PROJECTS
MWALIM KUKU FARM PROJECTS
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 06:42:00 GMT
40203
947
40
191

Music

Download

Comments

posh.kid97
posh kid :
inageuza mayai yenyewe?
2026-08-28 10:45:18
2
user2093618741404
nicaah## :
unapatikana wap ..maana mm Niko arusha
2026-07-18 09:33:48
2
mtunduofficial
mtundu official :
nipo SINGIDA napataje sasa
2026-07-16 11:10:13
2
eno27842
Enock Tz :
nahitaj vifaranga kam wapo dm me
2026-09-07 06:58:44
1
kiss4335
chris :
KATAVI tunaipaje
2026-08-06 20:14:45
0
user1181694629699
cute Trinity :
arusha mpo sehemu gani
2026-07-25 13:26:56
1
joyce8407
joyce :
nipo dodoma wilaya ya kondoa
2026-08-24 18:37:55
0
salimswaib
salim :
madam na wakirnyeji unaweza tumia
2026-07-18 09:16:47
1
anjelmaole
Mama J² :
nahitaji Niko simiyu
2026-07-27 11:56:44
1
nasrasunnah971
Nasra Sunnah :
nimekuelew na mm nahitaj ya mayai30 lakin hay mayai unajuaj kam ni yakutotolew man nimejarbu nikakosa vifarang
2026-09-04 15:07:18
1
tariccheo
Taric Cheo :
Naomba unwme mama ya wasapu
2026-07-29 07:46:08
0
maselemakaji
Maselema Kaji :
Nitaipataje hiyo ya mayai60 nitaipataje Niko meatu
2026-08-04 17:23:30
0
lailahamdan2
bit salim :
tunaipata wapi nipo dar
2026-07-31 07:58:01
0
simando34
simando :
nipo kahama nahitaji hiyo mashine ya mayai 30
2026-08-09 13:40:49
0
user711755069
Mh pokwe Rwambo :
upo wapi nataka nije ofisini nipo mkuranga pwani
2026-07-24 08:01:56
1
janeth.reward.bar
Janeth reward Baraka :
nahitaj hiyo mashine ila nataka nielekezwe kuset
2026-08-24 19:04:17
0
winnermwakanosya
winner :
naomba msaada incubator yangu inasoma humidity 82, 83,84 hadi 85 na mayai ni ya baridi sana yan incubator badala ya kupuluza joto inapuluza baridi
2026-09-02 06:07:48
0
joyce8407
joyce :
Nahitaji ya mayai 30
2026-08-24 18:37:32
0
hassan.athuman58
Hassan Athuman :
ntumie no zenu
2026-09-08 05:38:51
0
chancela858
Cammilar Kendrick 2️⃣6️⃣🇿🇦🪘 :
ya mayai,,,144 jee
2026-09-02 07:00:31
0
anjelmaole
Mama J² :
Niko maswa simiyu nahitaji ya mayai 60
2026-07-27 11:58:10
1
hassan.athuman58
Hassan Athuman :
naitaji yamayai 30 nko mwanza
2026-09-08 05:38:29
0
wild_zonetz
J_! :
uko wapi madam nahitaji
2026-07-07 12:51:14
0
andwe32
baba mo :
nipe faraja kama kwa sisi ambao umeme ambao unakatikakatik!
2026-07-07 11:35:52
0
bahat.hezron
Bahat Hezron :
naomba kujua inatumia unit ngap kwa siku hzo 21
2026-07-07 14:34:02
0
To see more videos from user @mwalimuprojectsfarm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About