@faridabeautyacademy: BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI ☎️ 0657292650 Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi minne NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000) utapatiwa Makeup set kwa ajili ya mazoezi,Tishet Mbili, Taulo , seti ya vitana ,Passport, Kitambulisho cha mwanachuo NOTE:Mwanafunzi unapaswa kuwa na rasta angalau bunda moja kwa siku kwa ajili ya mazoezi 📌TUNA MADARASA YA JIONI KWA WAAJIRIWA TUNA MADARASA YA YOUTUBE BURE JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUJIUNGA👇👇 https://youtu.be/mP6ipdb3mqI?si=FEBgScDmOyMq3VGF
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 07:59:01 GMT
Music
Download
Comments
edina January :
nahitaji naomba unipigie 0744072783
2026-07-12 12:27:33
0
@dizzy 5056 :
mnapokea wanafunzi wapya mwezi wa ngapi na wangap
2026-07-07 08:34:08
1
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm
homepage.