mungu ailaze roho yako mahali pema pepon raha ya milele akupe ee bwana na mwanga wa milele akuangazie upumzike kwa aman amen 🙏 mwenyez mungu tuhurumie vijana weng wana potea jamn tuhurumie punguza hasira yako jamn vijana wa arusha ni misiba inaongozana jamn hata mikoa mingine nimeumia kweli kwa kifo cha kikao japo sikufaham🥺🥺
2026-07-08 04:47:18
37
winnie :
boda wanaupendo na umoja sana jamani🥰
2026-07-09 11:37:49
9
Paula gabriel :
nilikupenda sana mdogowangu Mimi ningetoka ungebaki wew
2026-07-07 18:01:28
14
Stella backup ac❤🔐 :
Duuuuh home boy 😭😭😭
2026-07-08 19:29:35
0
ice @# :
poleni jmn
2026-07-07 14:34:06
5
Johni Emmanueli :
Poleni jamani
2026-07-07 18:46:45
2
Jogo wa shamba :
kama we nibodaboda tia ♥️ap
2026-07-08 18:30:13
14
tumaini😛😛😛 :
umenda kaka pumzik kwaaman kaman tutakutan ten ote njia nimoj kama unaamin na unamtakia safar njema eka ❤️❤️❤️
2026-07-07 19:03:04
14
CHUGA GIRL💙💗💖💕💞💞👍 :
daaaaaa mungu amlaze mahalipema pepon jmn kikao daaaaaa
2026-07-11 14:04:05
1
CHAMPION :
mungu naomba na mm siku yangu iwe kama hivi
2026-07-08 14:10:42
5
asmahbeleko💕 :
nkionag hv Hua namkumbuka mdogoang yooooh🥲🙌
2026-07-10 11:16:35
1
Onesmo Gabrerl :
pole familia
2026-07-09 00:20:43
1
rafaelchristofa56 :
daaa
2026-07-07 13:07:54
4
jovialy🦋 :
tulikupenda Sana jmn😭😭😭
2026-07-08 15:10:03
1
mrs dizzo45% :
daa inauma sanaa
2026-07-07 22:58:23
2
A plus+ :
Dah mdog kinoma 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-07 20:18:28
1
mr handsome 😍 :
kwaeshima mkuu
2026-07-08 14:51:27
1
Ms_zerah :
Pumzika kwa amani🙏
2026-07-07 20:03:57
1
ms.J :
tuliza camera jamn
2026-07-08 07:50:52
4
Vid'Mana🤞 :
Kijana ameshazikwa??😳
2026-07-07 22:34:03
1
official millian tz :
hongeren sanaaa bodabodaa kwa ushirikianoo wenu mzuli wakati wa masualaaa magumu kwa jamii mmekuwa farajaa🙏🙏
2026-07-08 06:48:54
1
mɓoƴa_classìc🍉🥑🍇🥭 :
mwenyez mungu ampunguzie adhab ya kabur ameen🙏🙏🙏
2026-07-07 19:00:38
1
Paula gabriel :
nilikupenda sana
2026-07-12 23:41:54
0
jacklnsila :
polen
2026-07-13 06:06:07
0
To see more videos from user @chrisyusuph6, please go to the Tikwm
homepage.