@kayogera7: **Je, Unasumbuliwa na Acid Reflux? Usiipuuzie! ** Je, mara kwa mara unahisi: ✅ Kiungulia kinachowaka kifuani? ✅ Ladha ya uchachu au uchungu mdomoni? ✅ Chakula kurudi kooni baada ya kula? ✅ Kichefuchefu au tumbo kujaa gesi? ✅ Kikohozi au sauti kukauka hasa usiku? Hizi zinaweza kuwa dalili za Acid Reflux (GERD). Tatizo hili linaweza kuathiri usingizi, ulaji na ubora wa maisha ikiwa halitapatiwa ushauri na matibabu sahihi. Usipuuzie dalili! Fanya tathmini ya afya yako mapema na upate ushauri wa kitaalamu kuhusu lishe, mtindo wa maisha na matibabu yanayofaa kulingana na hali yako. 📞 Wasiliana na Dr Samson kwa ushauri zaidi: 0792078806 Chukua hatua mapema kwa afya yako ya tumbo na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.