@hubofwisdom.inc: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anakingumzia mustakabali wa taifa letu, demokrasia, uongozi wa kuwajibika, na wajibu wa kila Mtanzania katika kulinda umoja na amani. Maneno yake hayakuwa ya wakati wake tu bado ni mwongozo muhimu kwa vizazi vya leo na vijavyo. Hekima yake inatukumbusha kwamba taifa imara hujengwa kwa maadili, haki, uwajibikaji, na mshikamano. ๐Ÿ•Š๏ธ Tumuenzi Mwalimu kwa kusikiliza, kujifunza, na kuishi yale aliyotuachia. ๐Ÿ‘‡ Usisahau: ๐Ÿ‘ Like video hii... ๐Ÿ’ฌ Tuambie: Ni ujumbe gani wa Mwalimu Nyerere unaokugusa zaidi kuhusu Tanzania na demokrasia? ๐Ÿ“ค Share ili ujumbe huu uwafikie Watanzania wengi zaidi. ๐Ÿ”” Follow H.W Media kwa maudhui ya historia, uongozi, maendeleo, na hekima zinazojenga taifa. Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na group letu la whatsApp #MwalimuNyerere #JuliusNyerere #Demokrasia #Tanzania #Umoja #UongoziBora #HistoriaYaTanzania #HWMedia #Leadership #Wisdom #Legacy #Maendeleo #Amani #Uzalendo #ManenoHayafi

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: EN
Tuesday 07 July 2026 08:30:58 GMT
114279
6231
81
696

Music

Download

Comments

samboytz44
sam boytz44 :
Hii ni AI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-09 04:11:53
2
user8258108204572
Miss Shalmah 224 :
Kweli baba, umeacha watu waoga sana na wabinsfsi pia, Mungu atusamehe
2026-07-08 16:33:26
24
zoyaleetz
Zoyalee Tz :
๐Ÿ’ฏ100%
2026-07-07 18:11:40
13
user6581481811863
Man from chato :
uhakika Babu ye2
2026-07-08 13:47:40
9
user6676151112854
MALIKALE MUSIC โœ… :
MASHOGA WA UWAWEEE
2026-07-09 06:21:06
0
user5436111730052
Brother man :
Huyu mzee alikua mbele ya muda sana daah!!๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
2026-07-09 08:31:39
7
user32474942333563
roy6060 :
daaaah
2026-07-07 11:12:37
6
smoulderbeliever
smoulderbeliever :
safi
2026-07-09 10:47:10
1
neema.jonas10
Neema Jonas :
Huyu mzee alikuwa nabii
2026-07-08 19:14:54
3
kidanux
kida nux :
we acha baba
2026-07-08 17:24:27
1
ibrahimamossy
ibrahimamossy :
Hayati alikuwa na maono makubwa sana ya nchi yetu hii
2026-07-09 05:03:10
2
vin28kaka
vicent elkana/marwa/vin :
unamaanisha nn
2026-07-08 14:54:20
2
marwa6kibwaga
marwa6 :
mwalimu mungu akulinde
2026-07-09 05:55:08
0
emanueliwildauson
emanueliwildauson :
huyu mzee alikuwa zaid ya nabii
2026-07-10 09:25:41
0
mr.ivan4579
Mr Ivan :
mia
2026-07-08 13:41:10
1
drop.exclusive
drop exclusive :
daah
2026-07-08 15:12:49
1
its.humble2
Humble.256 :
daaaaah
2026-07-07 15:39:06
1
chiyoboy4
chiyo@#boy@$ :
duu
2026-07-08 06:34:38
1
osman_acoustic
Osman Acoustic :
MadiniTalks โœ๐Ÿผ
2026-07-08 14:46:29
1
patrickkodi2
patrickkodi2 :
dah
2026-07-08 06:02:01
1
norah.emmanuel3
Norah Emmanuel :
mung ibarki nchi yetu
2026-07-09 20:08:16
0
zuhura.mhinga
Zuhura Mhinga :
mwenyezi mungu akuweke katika pepo yake na akusamehe mazambi yako ya awali๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-07-11 06:01:29
0
joshua19852
user2092736376667 :
baba wa taifa๐Ÿ‘๐Ÿ™
2026-07-10 04:47:23
0
michaelndomba7
Michaelndomba :
amina mungu akubariki na akusammehe makosa yako yote.amina.
2026-07-10 14:13:25
0
hashim.toto
Hashim Toto :
mhm
2026-07-08 15:41:40
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About