@kariakoobeichee: "Kuzima fridge usiku kunaokoa umeme." ❌ SI KWELI! Fridge imeundwa kufanya kazi masaa 24. Ukiizima usiku, inapowashwa tena asubuhi italazimika kutumia nguvu zaidi kurudisha ubaridi wa ndani. Pia, chakula kinaweza kuathirika ikiwa joto litapanda sana. 💡 Badala ya kuizima, tumia njia sahihi za kupunguza matumizi ya umeme. Je, wewe ulikuwa unaamini hili ni kweli? Andika "KWELI" au "SI KWELI" kwenye comments! 👇 #fyp #foryoupage

KARIAKOOBEICHEE
KARIAKOOBEICHEE
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 08:40:58 GMT
160547
1771
276
1185

Music

Download

Comments

latifabh0
Latifa Bhittalio :
kuzima fridge ni kazi ya tanesco
2026-07-08 13:44:59
76
vikenskidsstore
𝗩𝗜𝗞𝗘𝗡𝗦 Kids & maternity :
Mimi langu linawaka mwaka mzima labda tanesco wakate umeme na kuzima Zima kunaharibu sana friji
2026-07-08 18:05:18
32
mamatwins491
Lety😚 :
Kuwasha frge na kuzima inaogeza matuminz😁
2026-07-12 09:33:03
2
wineyominde
wineyominde :
hizo ni dalili za umaskini fridge linazimwa siku ya kuoshwa
2026-07-09 09:55:40
17
i.tazilly
zilly :
Nasema hivi nitazima mchana usiku nawasha😁
2026-07-08 15:40:04
17
naturalhairgirl14
NaturalHairGirl 💁‍♀️ 🇹🇿 :
na Hii ni Aina nyengine ya Umaskini MUNGU Aniepushe Nayo...📌
2026-07-08 10:13:50
8
youngthugzeus
Zeus :
Fridge huwa halili umeme
2026-07-08 10:57:31
5
shakiraahmedlissu
White Maria :
Friji halizimwagi jamani
2026-07-08 14:43:34
2
winniekaizer361
Winnie Kaizer :
@00hrs⁸
2026-07-08 19:35:58
1
amnoone87
oldest of the Southend flower :
leo ndo nimejua
2026-07-09 15:27:02
3
officialdebbie93
Adadiorama🧿♎️ :
Mom fridge langu kam la mochwari mzee halina ata kitu ila linavyo nguruma sasa😅
2026-07-08 10:42:22
10
mrs.ptexxofficial
Mrs P 💍❤️ :
sijawai zima fridge kabisa 😄
2026-07-08 13:18:36
11
judyjonathan0
judyjonathan0 :
Me mwenyewe fridge linawaka muda wote huwa nasafiri week naacha fridge on
2026-07-08 21:42:41
5
babyanu19
Babyanu :
Nazima kila mara kupunguza matumizi ya pesa 🥺🥺 🥺 inatafuna umeme kama vile na familia 😅😅😅staki stress za mapema
2026-07-10 13:28:25
2
namweta
namweta :
brand gani ya fridge matumizi yake ya umeme sio makubwa jamani?
2026-07-10 18:12:21
2
pressmunroe
Press :
hapana , kuzima na kuwasha friji ni gharama zaid , maana fridge unatumia umeme mwing zaid kuanza Moja baada ya kulizima
2026-07-07 21:15:14
8
user8299909590273
user8299909590273 :
sizimagi friji langu
2026-07-10 06:32:37
2
atufunyilechawe3
Mrs mjaluo :
Mi linazimishwa na tanesco
2026-07-08 15:54:42
1
jojooutfits
JojoOutfits :
Mm tokea nimenunua friji 2015 had leo sijawwh kulizima yaan lipo On miaka yote
2026-07-10 17:27:30
3
marysilver07
Mary Silver :
Kumbe mimi nina akili sana, sijuagi kuzima mie
2026-07-09 08:22:50
1
tc_annuh
Annuh 🍒 :
kwahiyo wasoma comment wote mna mafriji safi wanetu 😂😂👍🏽
2026-07-09 19:34:19
4
zulfa_collections
zuuh :
mi huwa sizimi fridge tatizo inagandisha kama jiwe hata nikiweka ice-cream ya azam inakuwa ngum kama jiwe🥺
2026-07-10 06:51:01
2
pricillaalex
Prissy💜 :
Fridge haizimwi bwana
2026-07-10 15:16:47
2
To see more videos from user @kariakoobeichee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About