@zompahtz: Inauma sana💔😭| alitoa figo akaachwa 😭💔#flypシ #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #trending #kenyantiktok🇰🇪

ZOMPAH
ZOMPAH
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 July 2026 09:02:07 GMT
72663
3137
309
531

Music

Download

Comments

its.dramaqwin034
Dramaqwin 034❤️🥰 :
Nampenda mwanaume wangu lkn kumchangia ata kucha siwezi🥹🙌🏻
2026-07-07 16:05:05
197
8991gmail.com
Habiba :
aisee pole mm siwez kumpa ata vuzi nibora niendelee kuwa single
2026-07-07 16:22:18
61
vickyofficia2434
vicky❤️❤️ :
daaah tupostie part 3🙏
2026-07-07 16:02:56
1
noralynn78
Norah Health Tips :
Ndo maana mwanaume wanalogwaa 🥹
2026-07-07 15:59:06
33
snath9798
Asnath💝 :
mpenz wangu popote ulipo nakupenda kweli ila jua tu hata ngozi ya Tako langu siwez kukupa🙌
2026-07-07 16:53:23
20
gbokeisyntc
Joy :
Tatizo mnapenda kujiamlia mambo
2026-07-07 12:26:46
32
tatu.aden
Tatu Aden :
Kupenda kubaya sana aisee😭😭😭
2026-07-07 17:01:15
12
irene.juma513
Irene juma :
mimi hata vuzi sitoi 🥺🥺🥺
2026-07-07 18:25:14
8
agness.kaila
Agness Kaila :
Iyouliompa itaaribika ata usilie dada ww ulifanya wema na mungu atakulipa muda sio mrefu kuana imani na mungu atajibu
2026-07-07 16:02:35
17
user7731552487971
Hassan K :
nilikuwa naskiliz kumb ni content
2026-07-07 17:06:32
5
user3698008602817
Lady Faabahoor🦋💕 :
Mungu hulipa hapa hapa duniani.Wala hata hachelewa muamini Mungu tuu🙏.
2026-07-07 19:41:28
5
gyakie432
lynnie 💕🦋 :
Pole sana binti machozi yako hayata dondoka bure what goes around comes around 🥹🙌
2026-07-07 17:16:58
5
baby.shaa65
EYSHANY OGY ❤️🫂🦋🥀 :
Mapenz mabaya sana jamn
2026-07-07 16:47:48
4
_obbiy
KWAJU BABA 🎙️🎵🎧 :
alie muacha uyu tyuna mlani sanaaana🥰🥰🥰🥰
2026-07-07 16:31:18
5
aswilah2
Aswilah 💞 :
walah angenirudishia weee
2026-07-07 18:27:16
3
colethajoseph283
Coletha Joseph :
mmmmmmmh sasa hayo mapenz hapana dada mbona ulijiamlia mambo mm siwez jaman
2026-07-07 16:32:13
1
dicksonjob3
Beliciana ❤️ :
kumbe mfadhl ilkua ni kitabu cha ukwel...aisee ww ni jelly au daniela
2026-07-07 17:32:57
5
sitefania90
sitefania :
wanaume 🙌🙌🙌🙌
2026-07-07 15:21:17
3
kwawasomali93
Kwawasomali93 :
Dada Mungu akutie nguvu Kwa kwelii wanaume daaah Mungu anawaona
2026-07-07 16:41:52
4
jd15790
Yullie🌸🌸🌸 :
Mungu amtie nguvu jmn🥺🥺
2026-07-07 14:46:59
4
user18735922001267
user18735922001267 :
me napenda sana,,ila hyo atua cwezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
2026-07-07 18:04:44
1
bi.marium
Marium Abdallah🕋 :
Wallah wanaume mungu awabariki
2026-07-07 18:13:19
1
To see more videos from user @zompahtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About